Moja ya hatua unazoweza kufuata kwenye kujiandaa kuacha kazi na kujiajiri

P
Jiunge bure na ajira hii ya mtandaoni upate pesa bila mtaji.

1.Ajira hii haihitaji kipato wala elimu ina hitaji muda na kifurushi cha intanet tu
2.Ukijisajili ili uweze kutoa pesa itakubidi ufikishe dola 150$ na referrals 40 kwa Mara ya kwanza,usijaribu kutoa kama hujatimiza vigezo hivyo,Ila ukisha toa kwa Mara ya kwanza baada ya hapo zitatoka kila unapo fikisha 10$ na kuendelea

3.Malipo yana fanyika kwenye account ya benki yoyote hapa nchini kwetuau West Union.

Ku pata dola 150$ ni rahisi itakuchukua saa moja na nusu kwa kufanya kazi bila kusimama.

Kazi yenyewe niku andika namba zinazoonekana na kutuma basi
Boyeza linki[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Viewing payed advertising sites vbmoney.site - Welcome!
Washilikisha na wenzako wajiunge kupitia link yako kwa kufanya hivyo utalipwa 50% ya kiasi anacholipwa

[emoji161][emoji161][emoji161][emoji161][emoji161][emoji161]
 
Kitu kimoja unachokosea Chasha Poultry Farm ni kudhani kuwa njia bora zaidi ya kufanya maisha ni moja tu nayo ni kujiajira. Ukweli ni kwamba, kama vile wewe unavyojisikia vizuri kujiajiri kuna watu wengine wengi tu wanaridhika na kuajiriwa. Acha kufikiri kwamba kila mtu aliyeajiriwa anataka kujiajiri ila anaogopa kuacha kazi.

Ukiacha hayo niliyosema hapo juu, mawazo yako ni mazuri sana kwa mtu anayetaka kuacha ajira ili ajiajiri.
 
Habari za mida wakuu?

Kwanza ifahamike kwamba kuacha kazi na kuingia kwenye ajira binafisi ni zoezi gumu sana. ni maamuzi magumu na huenda ndo maamuzi magumu kabisa ni zaidi ya maamuzi ya kupeana talaka.

Katika watu 1000 ni watu watatu tu wanao weza kuchukua huo uamuzi mugumu kabisa.

Hii ni kutokana na ukweli kwamba unakuta tiyari mentality iko kwenye kuajiriwa.

SASA TUNAFANYAJE?.AU TUNAKOMAA NA KAZI?

1.Anza kwa kubadili marafiki, na watu wengine wanao kuzunguka. Marafiki ambao unaona malengo yao ni miselei unatakiwa kuanza kuwa kwepa sana na anza kuambata na wale walio kwenye ajira binafisi. hawa mkikutana story zitakuwa ni za Biashara tu.

2. Jitahidi sana kuishi maisha normal, hii ni kwa muda wote, ishi levo ya kawaida ila mahitaji yote yawepo.Familia yako izoeshe hayo maisha normal.

3. Kama una mke/mme hakikisha anakuwa bise asikae tu, usiplani kuacha kazi ilihali mke ni Golikipa, hakikisha anaingiza chochote kile hata kama ni Tsh 3000 kwa siku.

3. Watoto wako, kama wako wakubwa kabisa 18+basi wasikae nyumbani na kula na wao wapangie majukumu yaani ilimuradi kila mmoja awe na mchango fulani, wanaweza kuwa wafanyakazi kwenye project yako mpya au basi wafungulie vimradi vyao n waambie hapo ndo pesa yao ya kula, na kuvaa itakapo toka.

4. Ndugu na jamaa anza kuwapa live kuhusu misaada na bakiza misaada muhimu pekeee, kama matibabu au Ugonjwa.

Kama ndugu zako wana nguvu wafanye kazi na kama vipi chukua waje kukusaidia wawe sehemu ya wafanya kazi.

Hata wazazi kama wana nguvu bado za kutosha wasisitize wafanye kazi pia.

5. Kama una pesa ya kutosha kata kabisa bima ya afya ya familia yako yote. Hakuna kitu kina kula pesa kama matibabu yaani unaweza filisika au mtaji unaweza ishia kwenye kuuguza.

6. Kama umepanga pia lipa hata kodi ya mwaka mzima.

7. Kazini anza kuwaza kazi zako muda wote na ukiwa kazini ukaanza kusikia wana mjadala wa masilahi ya wafanya kazi wewe kula kona, omba hata uzuru na ondoka.

8.Kama una Idea yako tiyari basi anzisha project yako ila hii iwe ni dakika zako za mwisho kabisa kazini.

Nitaelezea kwa nini iwe ni dakika za mwisho ndo uanzishe mradi na isiwe kabla sana.

9.Wakati wa likizo au weekend fanya ziara nyingi sana za kuwatembelea walio jiajiri, hasa wanao fanya kile unacho taka kufanya wewe, achana kabisa na viwanja kwa muda huo.

10.Andaa plan yako sasa hasa ya maisha ya ulaiani.
- Familia itaishi vipi,
-Itakula vipi
-Itavaa vipi,
-Ada za wa toto na kadhalila.

Hapa sasa tumia ile ya kule juu kwamba mke awe bise sana na na mnaweza panga kwamba pesa au faida ya biashara fulani itakuwa ni kwa ajili ya Chakula cha nyumbani na pia ada na mavazi.

Na biashara fulani ni.kwa ajili ya Ada ya shule pekee,
Ndo.maana nikasisitiza mama au mzee atangulie fild hata mwaka 1 kabla.

11. Hakikisha usha plan project yako na usha soma kila kitu na inavyo endeswa na hatari zake.

Kamwe usiache ndo ufike home uanze kuuliza watu ufanye nini, hakikisha unafanya utafiti wa kutosha na wa kitalaamu.

Kamwe usifanye kwa sababu jamaa zako au ndugu anafanya au umeshauriwa, no fanya utafiti wa kutosha

13. Hapa sasa unaweza toa notce ya mwezi, waambie ukweli ingawa hapa sasa unaweza kutana na vikwazo vya kutosha kutoka kwa wafanya kazi hasa bosi wako ila kwa sababu usha amua basi wewe aga na waambie ni.maamuzi yako.

14 Hand over kila kitu na kuka kona kama watakufanyia part poa tu.

15.Sasa usha ingia kitaaa, hakikisha kesho yake tiyari uko bise yaani usiache then ukajipa muda wa kupumzika na sijui kwenda kusalimia.

Kuwa bise kadri iwezekanavyo.

NB: Kuacha kazi ni maamuzi magumu sana na yanapaswa kuandkkwa kwenye story ya mafanikio yako.

Mimi sijatumia baadhi ya njia ingawa kuna baadhi hapo jiu nilizitumia.

UJASIRIAMALI SIO.LELE MAMA KUNA WAKATI UTAKUWA UNAONGEA HATA MWENYEWE NJIANI.

MUHIMU
Unapo taka kuacha kazi kamwe na daima usianze kutafuta ushauri kwa watu walioko kwenye ajira, kama ni ushauri basi tafuta kwa watu walio nje ya ajira yaani walio jiajiri wenyewe.

MWISHO
Humu hakuna mtoto hivyo hakuna anaye Danganywa kila mtu na maamuzi yake, ieleweke hivyo.

Chasha Poultry Farm
Elimu kuntu hii so Care International ushawabwagaaa¿¿
 
At that time naacha kazi shirika moja hivi ghafla boss wangu akaibuka na kusema nimepiga mafuta ya gari mengi sana ndo mana naacha kazi,akanitia msuko suko lakini MUNGU akanisimamia.cha ajabu yeye ndo mpigaji kumzidi hata shetani,lakini ni mwaka sasa nishajizoelea zangu kula magengeni ugali dagaa japo familia inagonga ugali kuku.mdogo mdogo nasonga
 
Halafu unatakiwa ujifanye kichaaa kidogo yaan kila mmoja atakuongea wewe...unatakiwa kuziba masikio Mimi naheshimu sana MTU aliyejiajiri kuliko aliyeajiriwa...usiniulize kwnn...
 
Habari za mida wakuu?

Kwanza ifahamike kwamba kuacha kazi na kuingia kwenye ajira binafisi ni zoezi gumu sana. ni maamuzi magumu na huenda ndo maamuzi magumu kabisa ni zaidi ya maamuzi ya kupeana talaka.

Katika watu 1000 ni watu watatu tu wanao weza kuchukua huo uamuzi mugumu kabisa.

Hii ni kutokana na ukweli kwamba unakuta tiyari mentality iko kwenye kuajiriwa.

SASA TUNAFANYAJE?.AU TUNAKOMAA NA KAZI?

1.Anza kwa kubadili marafiki, na watu wengine wanao kuzunguka. Marafiki ambao unaona malengo yao ni miselei unatakiwa kuanza kuwa kwepa sana na anza kuambata na wale walio kwenye ajira binafisi. hawa mkikutana story zitakuwa ni za Biashara tu.

2. Jitahidi sana kuishi maisha normal, hii ni kwa muda wote, ishi levo ya kawaida ila mahitaji yote yawepo.Familia yako izoeshe hayo maisha normal.

3. Kama una mke/mme hakikisha anakuwa bise asikae tu, usiplani kuacha kazi ilihali mke ni Golikipa, hakikisha anaingiza chochote kile hata kama ni Tsh 3000 kwa siku.

3. Watoto wako, kama wako wakubwa kabisa 18+basi wasikae nyumbani na kula na wao wapangie majukumu yaani ilimuradi kila mmoja awe na mchango fulani, wanaweza kuwa wafanyakazi kwenye project yako mpya au basi wafungulie vimradi vyao n waambie hapo ndo pesa yao ya kula, na kuvaa itakapo toka.

4. Ndugu na jamaa anza kuwapa live kuhusu misaada na bakiza misaada muhimu pekeee, kama matibabu au Ugonjwa.

Kama ndugu zako wana nguvu wafanye kazi na kama vipi chukua waje kukusaidia wawe sehemu ya wafanya kazi.

Hata wazazi kama wana nguvu bado za kutosha wasisitize wafanye kazi pia.

5. Kama una pesa ya kutosha kata kabisa bima ya afya ya familia yako yote. Hakuna kitu kina kula pesa kama matibabu yaani unaweza filisika au mtaji unaweza ishia kwenye kuuguza.

6. Kama umepanga pia lipa hata kodi ya mwaka mzima.

7. Kazini anza kuwaza kazi zako muda wote na ukiwa kazini ukaanza kusikia wana mjadala wa masilahi ya wafanya kazi wewe kula kona, omba hata uzuru na ondoka.

8.Kama una Idea yako tiyari basi anzisha project yako ila hii iwe ni dakika zako za mwisho kabisa kazini.

Nitaelezea kwa nini iwe ni dakika za mwisho ndo uanzishe mradi na isiwe kabla sana.

9.Wakati wa likizo au weekend fanya ziara nyingi sana za kuwatembelea walio jiajiri, hasa wanao fanya kile unacho taka kufanya wewe, achana kabisa na viwanja kwa muda huo.

10.Andaa plan yako sasa hasa ya maisha ya ulaiani.
- Familia itaishi vipi,
-Itakula vipi
-Itavaa vipi,
-Ada za wa toto na kadhalila.

Hapa sasa tumia ile ya kule juu kwamba mke awe bise sana na na mnaweza panga kwamba pesa au faida ya biashara fulani itakuwa ni kwa ajili ya Chakula cha nyumbani na pia ada na mavazi.

Na biashara fulani ni.kwa ajili ya Ada ya shule pekee,
Ndo.maana nikasisitiza mama au mzee atangulie fild hata mwaka 1 kabla.

11. Hakikisha usha plan project yako na usha soma kila kitu na inavyo endeswa na hatari zake.

Kamwe usiache ndo ufike home uanze kuuliza watu ufanye nini, hakikisha unafanya utafiti wa kutosha na wa kitalaamu.

Kamwe usifanye kwa sababu jamaa zako au ndugu anafanya au umeshauriwa, no fanya utafiti wa kutosha

13. Hapa sasa unaweza toa notce ya mwezi, waambie ukweli ingawa hapa sasa unaweza kutana na vikwazo vya kutosha kutoka kwa wafanya kazi hasa bosi wako ila kwa sababu usha amua basi wewe aga na waambie ni.maamuzi yako.

14 Hand over kila kitu na kuka kona kama watakufanyia part poa tu.

15.Sasa usha ingia kitaaa, hakikisha kesho yake tiyari uko bise yaani usiache then ukajipa muda wa kupumzika na sijui kwenda kusalimia.

Kuwa bise kadri iwezekanavyo.

NB: Kuacha kazi ni maamuzi magumu sana na yanapaswa kuandkkwa kwenye story ya mafanikio yako.

Mimi sijatumia baadhi ya njia ingawa kuna baadhi hapo jiu nilizitumia.

UJASIRIAMALI SIO.LELE MAMA KUNA WAKATI UTAKUWA UNAONGEA HATA MWENYEWE NJIANI.

MUHIMU
Unapo taka kuacha kazi kamwe na daima usianze kutafuta ushauri kwa watu walioko kwenye ajira, kama ni ushauri basi tafuta kwa watu walio nje ya ajira yaani walio jiajiri wenyewe.

MWISHO
Humu hakuna mtoto hivyo hakuna anaye Danganywa kila mtu na maamuzi yake, ieleweke hivyo.

Chasha Poultry Farm

kamanda mchona meli moto hongera kwa post nzuri
 
Good mentors train interpreneur patience +Consistence differently.

Post zako zinanitia moyo....
Chasha/Ontario/JF expert members...b blessed
 
Back
Top Bottom