third eye chakra
JF-Expert Member
- Dec 27, 2023
- 918
- 2,160
Dawa ya miguu kuwaka moto🤔
🗣️leo nitapenda kuelekeza Dawa ya miguu kuwaka moto au kufa ganzi au kupoza au kuuma.
chukuwa shabu vijiko 4
vikubwa chemsha kwenye maji ya ya Lita mbili kisha jikande
✍️ Kwa kitambaa Kwa siku Mara mbili kwa siku 4 tu kisha mlete majibu ni watu wengi wamekuwa wakipona kupitia shabu.
👉Shabu wanauza maduka ya dawa za asili.
MDHARAU ASILI HUFA KIKATILI.