Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 16,680
- 31,804
Hakika it was a top notch decision,
Maana unakuwa ukiambiwa wewe ni wa vile, na wanakuwa perceive hivyo, nilivyogundua hakuna mtu anayenijua na kuniona kwa jinsi nilivyo.. Nilisema tupilia mbali, naondoka na sita wasiliana na mtu mpaka, nitakapo ona inafaa.
Watu hasa familia wakaiona mimi ni mkaidi, but I was fighting for me..
Na kama ujuavuo watasema umewatenga wakati wao ndio walikuwa mstari wa Mbele kukuambia vision zako ni delusional.
Baada ya mateso na ku reparent my self into the version that suits me, sasa naona kabisa, yale maamuzi japo yalikuwa na maumivu makali, yalikuwa ni maamuzi bora niliyo wahi kuyafanya katika maisha.
Most people wanadhani change inakuja tu by thinking, Hapana... Mtu unapaswa kupitia tanuri la moto. Sio kuongea tu, nervous system unajua kama unajidanganya na hakuna kitakacho badilika kama uko mazingira yale yale yaliyo kubomoa.
So, kati ya maamuzi magumu, yalikuwa ni kukata mawasiliano na kuacha watu na kila kitu nilicho kuwa nakijua.