sanalii
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,639
- 5,767
Katika harakati za kimaisha nikafika Tanga, maeneo yenye wasambaa wengi,
Kitu kilichonishangaza eti waganga wa kienyeji wa kisambaa, yani mtu hajawahi kufika hata Arusha mjini lakini unaambiwa anapandisha mashetani kisha unaambiwa ni shetani la kimasai na anaogea kimasai, kisha kuna kijana anapewa dawa anakua anatafsiri maneno ya mganga.
I wish ningejua kimasai nikaweza kujua wanadanganya watu. Hii inawezekana vipi?