Mkuu; Mtindi sio maziwa fresh. Maziwa fresh ni yale yanayoweza kutumika kutengeneza chai. Ukiyachemsha hufoka sana. Mtindi ukichemsha unasambaratika au unaganda kuwa mabonge-mabonge.Maziwa yao fresh ni mazuri sana
Ni kweli kabisa, yale ya iringa mengi napata yashaharibika tena yale ya fleva ndio kabisaaa....haya ni uhakika kabisaa yako poaKama wewe ni mtumiaji wa mtindi utakuwa shuhuda hawa jamaa hawana mpinzani.
Maziwa bora kabsa
View attachment 3167333
You should pay for this advertKama wewe ni mtumiaji wa mtindi utakuwa shuhuda hawa jamaa hawana mpinzani.
Maziwa bora kabsa
View attachment 3167333
Mtindi mzuri pekee ni ule unaogandishwa nyumbani tu,the rest ni takataka na nawashangaa sana wanaopenda ya pakiti kama hiviKama wewe ni mtumiaji wa mtindi utakuwa shuhuda hawa jamaa hawana mpinzani.
Maziwa bora kabsa
View attachment 3167333
Ahaaaa Utegi hiyo kwa mrembo Adhiambo Odhiambo, kitambo sana kampuni iliitwa Maziwa ya Mara.Mara Dairies,
Haijawahi tokea maziwa kama yale.
🤣🤣Niache maziwa ya ng'ombe wa asili ndani ya kibuyu hapa kijijini kwetu nitumie hayo ya kwenye nailoni?Gone nut?
Hivi kuna mtindi sio wa ng'ombe?!Kuna yanayoitwa Jirambe, ni ya ng'ombe kabisa tena wakienyeji nadhani asee!
Ndio kuna maziwa ya ngamia , mbuzi na punda.Hivi kuna mtindi sio wa ng'ombe?!
Umeonja ya kondiki mkuu