Moja ya Taaluma ambayo inaendelea kuwaweka CCM Madarakani Ualimu Wangekua kama Madaktari na wanasheria CCM ingekua out zaman sana

Moja ya Taaluma ambayo inaendelea kuwaweka CCM Madarakani Ualimu Wangekua kama Madaktari na wanasheria CCM ingekua out zaman sana

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2019
Posts
2,224
Reaction score
4,472
Sipo hapa kudhibitisha hili..hili lipo wazi na lishadhibitika mara nyingi sana.

TLS ashawahi shinda Lissu
Jana kashinda Mwambukusi hawa wote waliwabwaga Machawa wa Ccm.

The same Madaktari washawahi itikisa hii Nchi hadi wakaanza wafanyia ukatili NB:Yule Daktar Ulimboka.

Hii Nchi taaluma moja ambayo ccm wamekalia na haya mawalimu haya utasikia walimu wamuchangia hela ya Fomu #WatchHundred.

Wasomi wa Taaluma ya Ualimu tokea wakiwa vyuoni hua wapowapo tu waliofika chuon watadhibitisha hili.

Kama na walimu nao wakibadilika wakajielewa Ccm itatolewa madarakan..ila kama bado Ccm haitoki hata 2100

#HappySimbaDay
 
Walimu wangu wa shule ya msingi hasa mwalimu mkuu walinitia hofu na kunifanya niogope neno "wilayani" na neno "mkurugenzi". Nilikuwa nadhani mkurugenzi ni mtu hatari sana, alafu wilayani ni kama sehemu ya kutoa hukumu na kuamrishwa ukatii kwa kutetemeka.

Nikaja jua baadae ulikuwa woga wao tu. Mambo mengine unakuta mkurugenzi au afisa elimu wa wilaya anakuja kukagua wanakaa roho juu wanaogopa. CCM inawatishia muda wote.
 
Mwalimu ni mwalimu tu, kozi zao wanafundishwa uoga ndio la maana wanalosomea
Wapo majasiri mkuu.japo wengi ni underground nakupa uzoefu wa field mkuu, kwenye chaguzi vituo vilivyo na walimu vingi CCM huangukia pua mara nyingi na wanalifahamu hilo.Ukipata muda pia tembelea MABIBO 'B' S/MSINGI -Ubungo Dar,sema wewe ni mgeni wa Mwalimu CHADEMA- chapu utaitiwa ni mbabe na haijifichi tena ni Mwana Mama.Uende na Chips kuku basi jombaa, siyo mikono mitupu sasa,anapenda kidari, utapata elimu ya ukombozi kama yote.Anajisimamia sana.
 
Ngoja aje Mpwayungu village atie neno naye 😀😅
Maana anawajua hao jamaa vizuri sana ndani na nje ya mazingira ya kazi.
 
So walimu tu wakibadilika ccm nje au sio?...Hawa walimu wameshikilia system kumbe🙄sikujua hili😃...
 
Sipo hapa kudhibitisha hili..hili lipo wazi na lishadhibitika mara nyingi sana.

TLS ashawahi shinda Lissu
Jana kashinda Mwambukusi hawa wote waliwabwaga Machawa wa Ccm.

The same Madaktari washawahi itikisa hii Nchi hadi wakaanza wafanyia ukatili NB:Yule Daktar Ulimboka.

Hii Nchi taaluma moja ambayo ccm wamekalia na haya mawalimu haya utasikia walimu wamuchangia hela ya Fomu #WatchHundred.

Wasomi wa Taaluma ya Ualimu tokea wakiwa vyuoni hua wapowapo tu waliofika chuon watadhibitisha hili.

Kama na walimu nao wakibadilika wakajielewa Ccm itatolewa madarakan..ila kama bado Ccm haitoki hata 2100

#HappySimbaDay
Namba 1 ni polisi
 
Vyombo vya ulinzi na usalama ndio wahusika namba 1, kuiweka CCM madarakani.
 
Na Sasa hivi wapo semina ya kuandikisha wapiga kura
 
Back
Top Bottom