Moja ya video Prof. Palamagamba Kabudi asizopenda kutazama kabisa

Moja ya video Prof. Palamagamba Kabudi asizopenda kutazama kabisa

Usidharau mbinu alizotumia baba yako kukulea mpaka umekua. Kama alikulea kwa kupika gongo na wewe sasa unalea wanao kwa kupata mshahara mnono, endelea kumshukuru baba yako kwa kukuvusha.

Mbinu zilizotumika kuivusha nchi kwenye janga la Covid hata kama kwa sasa zimepitwa na wakati, kwa wakati ule zilikuwa, the best we could ever have. Embu ona wengine walivyoteseka kisha uje hapa na shukrani kwa wale wote waliopambana usiku na mchana kukuvusha salama kwenye janga la Corona.
 
Sijui anajisikiajw akiitizama hii Video?na familia yake inapotizama hii video na kumtizama inajifunza nini kuhusu baba yao?

View attachment 1877097
Cha mhimu ajikinge sana na awe mtiifu kwa njia zinazoshauriwa na wataalamu wa afya.Yeye aendelee kutushauri mambo ya sheria,mambo ya afya tuwaachie wizara husika.

Mpaka leo sijuagi kwanini yeye ndiyo aliteuliwa kufuatilia hizo juice badala ya waziri wa afya. Kitu watu wanasahau ni hiki,ukianza kuichukulia poa Corona,yenyewe inakufanya kuwa mfano chap.wote walio ichukulia poa poa sasa hiv ni story zimebaki.

Fuata ushauri wa kitalaamu. Tumuombe Mungu pia atusaidie kutuongezea maarifa ya kujikinga na kupambana nayo
 
Usidharau mbinu alizotumia baba yako kukulea mpaka umekua. Kama alikulea kwa kupika gongo na wewe sasa unalea wanao kwa kupata mshahara mnono, endelea kumshukuru baba yako kwa kukuvusha. Mbinu zilizotumika kuivusha nchi kwenye janga la Covid hata kama kwa sasa zimepitwa na wakati, kwa wakati ule zilikuwa, the best we could ever have. Embu ona wengine walivyoteseka kisha uje hapa na shukrani kwa wale wote waliopambana usiku na mchana kukuvusha salama kwenye janga la Corona.
Sio kwelii ulichoandika. Mbinu waliyotumia ilifeli vibaya ndo Mana tumerudi kwenye chanjo. Walidhani hizo dawa za kienyeji zinatibu
 
kuna wanaona aibu kali mwaka Dr gwaji, prof kalamaganda , jafoo na all ccm co
 
Hahaaa...prof kalamaganda kabugi... Prof mzima aliingizwa mkenge na undergraduate wa madagascar! Warudishe pesa zetu walizotumia kufuata matunguli! Upuuzu km huu utakoma endapo tutapata katiba mpya!
Ninadhani shida ni yeye mwenyewe hapo katika harakati zake za kulinda kitumbua chake
 
Usidharau mbinu alizotumia baba yako kukulea mpaka umekua. Kama alikulea kwa kupika gongo na wewe sasa unalea wanao kwa kupata mshahara mnono, endelea kumshukuru baba yako kwa kukuvusha.

Mbinu zilizotumika kuivusha nchi kwenye janga la Covid hata kama kwa sasa zimepitwa na wakati, kwa wakati ule zilikuwa, the best we could ever have. Embu ona wengine walivyoteseka kisha uje hapa na shukrani kwa wale wote waliopambana usiku na mchana kukuvusha salama kwenye janga la Corona.

..tulitumia muda mwingi kuzodoa na kukejeli mataifa yaliyoathirika na covid 19 kuliko Tanzania.
 
Mafuta ya ndege, posho ya mzee wa jalala, uchakavu kwenye ndege......yote hii kwenda kukusanya takataka, hii nchi ya wadanganyika sijui nani kawaroga...
 
Aliaminiwa kwenye ujinga kushinda waziri wa afya. Mimacho tu
 
Usidharau mbinu alizotumia baba yako kukulea mpaka umekua. Kama alikulea kwa kupika gongo na wewe sasa unalea wanao kwa kupata mshahara mnono, endelea kumshukuru baba yako kwa kukuvusha.

Mbinu zilizotumika kuivusha nchi kwenye janga la Covid hata kama kwa sasa zimepitwa na wakati, kwa wakati ule zilikuwa, the best we could ever have. Embu ona wengine walivyoteseka kisha uje hapa na shukrani kwa wale wote waliopambana usiku na mchana kukuvusha salama kwenye janga la Corona.
Kuna Watanzania waliovuka hili janga la UVIKO-19?Kuvuka ni kufanyaje wakati watu wanaendelea kuteketea?Usikute unawaongelea waliotangulia mbele ya Muumba wao?
 
Back
Top Bottom