Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwa hana sababu ya kueleza kwa majigambo.Sijui anajisikiaje akiitizama hii Video?
Na familia yake inapotizama hii video na kumtizama inajifunza nini kuhusu baba yao?
View attachment 1877097
Lazima apate kisukari!Jamaa ndomana sasa hv yuko kimyaa,haongei chochote kuhusu uviko na chanjo[emoji23][emoji23]
Sijui anajisikiaje akiitizama hii Video?
Na familia yake inapotizama hii video na kumtizama inajifunza nini kuhusu baba yao?
Mwezi mchanga katika kupigania tumbo lake.Sijui anajisikiaje akiitizama hii Video?
Na familia yake inapotizama hii video na kumtizama inajifunza nini kuhusu baba yao?
View attachment 1877097
Chizi maarifa.Sijui anajisikiaje akiitizama hii Video?
Na familia yake inapotizama hii video na kumtizama inajifunza nini kuhusu baba yao?
View attachment 1877097
Aibu, aibu, aibuSijui anajisikiaje akiitizama hii Video?
Na familia yake inapotizama hii video na kumtizama inajifunza nini kuhusu baba yao?
View attachment 1877097
A fool who has been taken for a ride!Sijui anajisikiaje akiitizama hii Video?
Na familia yake inapotizama hii video na kumtizama inajifunza nini kuhusu baba yao?
View attachment 1877097
Likini si aliwahi kusema mwenyewe kuwa alitolewa jalalani? Sasa mtu wa jalalani unategemea kupata nini cha maana kutoka kwake. Labda mpaka awe "Recycled ' ndipo tutapata kitu kipya kutoka kwake.Sijui anajisikiaje akiitizama hii Video?
Na familia yake inapotizama hii video na kumtizama inajifunza nini kuhusu baba yao?
View attachment 1877097
Njaa mbaya sana, hasa ukiiendekeza.Wasomi wengi Tanzania ni wanafiki Sana. Akili zao zimehamia matumboni mwao!
ofess wa jalalani.Sijui anajisikiaje akiitizama hii Video?
Na familia yake inapotizama hii video na kumtizama inajifunza nini kuhusu baba yao?
View attachment 1877097
Anafanya ambacho wewe pia ungefanya...nenda na biti la songi