Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
KWEELI BHANA ILE PESA NDO INGEKUWA YA KODI YA KUJITOLEA JMN.Hahaaa...prof kalamaganda kabugi... Prof mzima aliingizwa mkenge na undergraduate wa madagascar! Warudishe pesa zetu walizotumia kufuata matunguli! Upuuzu km huu utakoma endapo tutapata katiba mpya!
Cha mhimu ajikinge sana na awe mtiifu kwa njia zinazoshauriwa na wataalamu wa afya.Yeye aendelee kutushauri mambo ya sheria,mambo ya afya tuwaachie wizara husika.Sijui anajisikiajw akiitizama hii Video?na familia yake inapotizama hii video na kumtizama inajifunza nini kuhusu baba yao?
View attachment 1877097
Babu aliharibu sana aiseeSijui anajisikiajw akiitizama hii Video?na familia yake inapotizama hii video na kumtizama inajifunza nini kuhusu baba yao?
View attachment 1877097
Sio kwelii ulichoandika. Mbinu waliyotumia ilifeli vibaya ndo Mana tumerudi kwenye chanjo. Walidhani hizo dawa za kienyeji zinatibuUsidharau mbinu alizotumia baba yako kukulea mpaka umekua. Kama alikulea kwa kupika gongo na wewe sasa unalea wanao kwa kupata mshahara mnono, endelea kumshukuru baba yako kwa kukuvusha. Mbinu zilizotumika kuivusha nchi kwenye janga la Covid hata kama kwa sasa zimepitwa na wakati, kwa wakati ule zilikuwa, the best we could ever have. Embu ona wengine walivyoteseka kisha uje hapa na shukrani kwa wale wote waliopambana usiku na mchana kukuvusha salama kwenye janga la Corona.
atakuwa anajiona boya sana prof.MajalalaSijui anajisikiaje akiitizama hii Video?
Na familia yake inapotizama hii video na kumtizama inajifunza nini kuhusu baba yao?
View attachment 1877097
Ninadhani shida ni yeye mwenyewe hapo katika harakati zake za kulinda kitumbua chakeHahaaa...prof kalamaganda kabugi... Prof mzima aliingizwa mkenge na undergraduate wa madagascar! Warudishe pesa zetu walizotumia kufuata matunguli! Upuuzu km huu utakoma endapo tutapata katiba mpya!
Anafanya ambacho wewe pia ungefanya...nenda na biti la songiSijui anajisikiaje akiitizama hii Video?
Na familia yake inapotizama hii video na kumtizama inajifunza nini kuhusu baba yao?
View attachment 1877097
Usidharau mbinu alizotumia baba yako kukulea mpaka umekua. Kama alikulea kwa kupika gongo na wewe sasa unalea wanao kwa kupata mshahara mnono, endelea kumshukuru baba yako kwa kukuvusha.
Mbinu zilizotumika kuivusha nchi kwenye janga la Covid hata kama kwa sasa zimepitwa na wakati, kwa wakati ule zilikuwa, the best we could ever have. Embu ona wengine walivyoteseka kisha uje hapa na shukrani kwa wale wote waliopambana usiku na mchana kukuvusha salama kwenye janga la Corona.
Kuna Watanzania waliovuka hili janga la UVIKO-19?Kuvuka ni kufanyaje wakati watu wanaendelea kuteketea?Usikute unawaongelea waliotangulia mbele ya Muumba wao?Usidharau mbinu alizotumia baba yako kukulea mpaka umekua. Kama alikulea kwa kupika gongo na wewe sasa unalea wanao kwa kupata mshahara mnono, endelea kumshukuru baba yako kwa kukuvusha.
Mbinu zilizotumika kuivusha nchi kwenye janga la Covid hata kama kwa sasa zimepitwa na wakati, kwa wakati ule zilikuwa, the best we could ever have. Embu ona wengine walivyoteseka kisha uje hapa na shukrani kwa wale wote waliopambana usiku na mchana kukuvusha salama kwenye janga la Corona.
Na ute/utando mweupe mdomoni.Aliaminiwa kwenye ujinga kushinda waziri wa afya. Mimacho tu