toobiter
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 1,441
- 2,877
Moja ya zana muhimu sana katika uzinzi,uasherati na uchepukaji ni SIMU.
Sahau kuhusu kufuta sms,kusave majina kwa msimbo,kuwa na secret gallery,kutopiga picha na other illegal half,kubadilisha password Kila wiki na kukariri namba badala ya kusave.hizi ni code ambazo wahafidhina na waliberali wanazijua na kuzizingatia ili wasidakwe.
Lakini je unajua kuhusu PHONE CALL RECORDING hasa unapokuwa na maongezi mazito ya kimahaba? Inakuwaje?
Iko hivi ukiwa unaongea na mpenzi awe halali au haramu na amekunogea Huwa kuna muda sikio au shavu linagusa sehemu ya recording wakati simu Inaendelea na unajikuta umerekodi mazungumzo yooote bila kujua na mbaya zaidi ukikata simu tu automatically Ile audio inajisave kwenye simu yako bila kujua.
Sasa kwa bahati mbaya au makusudi mkeo/mmeo/mpenzi wako anashika simu na wewe unakaa. Kwa amani ukijua wasap,sms na picha hakuna ushahidi.hahaaa utashangaa unapewa headphones unadhani ni mahaba na unastuka kusikia sauti yako.
Kuwa makini mzinzi wewe