Mojawapo ya Agenda muhimu kwa Bunge kujadili ni bima ya Afya kwa wote

ASANTE;
Vipaumbele vya Wabunge walioko Bungeni kwa sasa ni:
1.Maslahi yao binafsi
2.Maslahi ya Chama chao ili kiwahakikishie kuendelea kuwepo kwa maslahi yao.
 
Tusikurupuke ,twende tukafanye utafiti jinsi rwanda wanavyoitekeleza hiyo service ,tuwapeleke wataalamu rwanda sio kina kibajaji au msukuma au mwana fa au babu tale.....Kisha tuifanyie pilot kwanza.
 
Tusikurupuke ,twende tukafanye utafiti jinsi rwanda wanavyoitekeleza hiyo service ,tuwapeleke wataalamu rwanda sio kina kibajaji au msukuma au mwana fa au babu tale.....Kisha tuifanyie pilot kwanza.
Rwanda walijifunza huku
 
Tusikubali kuingia mkenge wa mjadala wa chanjo ni vyema tukamalizana na mjadala wa bima ya afya kwa wote
 
Tuwe na bima ya afya kwa wote
 
Bado kuna sintofahamu isiyoeleweka kuhusu swala hili
 
wakati wa bima ya afya kwa wote ni huu
 
Hongereni Wizara ya Afya kwa hili la bima ya afya kwa wote mmejijengea historia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…