Pre GE2025 Molel lini umekuwa msemaji wa Wamaasai?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,494
Reaction score
96,074
Ulevi wa madaraka ni mbaya sana kuliko hata wa kubugia ugoro.

Eti anawasemea Wamaasai kuwa hawataki katiba mpya?
Kwi kwi kwi kwi kwi kwi kweli shibe ni ulevi pia.

Nimeamini kuwa mtu anayefaidika na utawala ulipo kamwe hawezi kukubali mageuzi.

Watanzania tusife moyo ipo siku tutafanikiwa.

Safari bado ndefu sana kufikia maendeleo ya kweli.
 
Kwani wamasai wamekwambia kama hawataki kusemewa wacha kiherehere!
 
Sasa mtu kama huyu mtafute baada ya kuwa amepigwa kibuti kwenye uwaziri na ubunge.

Huwa wanaongea mambo yenye akili kweli kweli. Lkn wakiwa kwenye vyeo......
 
Washafungwa midomo yao kama Zzt yupo kwenye serikali kaamua kukaa kimya
 
Ulevi wa madaraka ni mbaya sana kuliko hata wa kubugia ugoro.

Eti anawasemea Wamaasai kuwa hawataki katiba mpya?
Kwi kwi kwi kwi kwi kwi kweli shibe ni ulevi pia.

Nimeamini kuwa mtu anayefaidika na utawala ulipo kamwe hawezi kukubali mageuzi.

Watanzania tusife moyo ipo siku tutafanikiwa.View attachment 2869734
Aise, hii Kali. Leo na declare rasmi huyu Jamaa ni shetani siyo mtu. Unaitwa Dr.... ! Unatumia elimu yako,nafasi yako na vihela vyako kurubuni wananchi masikini na wasio na elimu wakatae katiba mpya.? Kweli wewe Jamaa unastahili kuishi? Unatumia nafasi ya serikali kurubuni wananchi wenye elimu ya chini na njaa wakatae katiba mpya Bali wabaki na katiba ambayo hata Rais aibe namna Gani hawezi kushtakiwa. Umeita camera kwa ujinga huo kweli? Ok, God take this idiot
 
Hao ndiyo wanao kwamisha juhudi za watanzania
 
Ulevi wa madaraka ni mbaya sana kuliko hata wa kubugia ugoro.

Eti anawasemea Wamaasai kuwa hawataki katiba mpya?
Kwi kwi kwi kwi kwi kwi kweli shibe ni ulevi pia.

Nimeamini kuwa mtu anayefaidika na utawala ulipo kamwe hawezi kukubali mageuzi.

Watanzania tusife moyo ipo siku tutafanikiwa.View attachment 2869734
Hivi kweli kuna Mmasai mpumbavu kama huyu?
 
Attachments

  • 20231209_105134.jpg
    20231209_105134.jpg
    83.1 KB · Views: 2
Back
Top Bottom