Hongera sana mkuu, kwa package nzuri sana ya bidhaa yako.
Vipi kwa mjasiriamali mdogo Kama mimi naruhusiwa kupiga simu angalau kujua vitu vichache kuhusiana na package ya bidhaa? Tunaweza kujifunza kupitia kwako.
naipenda sana ile biashara ya chakula umeacha?? Ningependa kujifunza pia kutoka kwako
Bei ya jumla ni sh ngapi kama na mie nataka nikauze mbele?
Packaging not bad,branding too plain,label need improving but umejitaidi,hata kina barhesa walianza kwa kuuza maandazi