Molii products (pilipili, vitunguu swaumu na peanut butter)

Molii products (pilipili, vitunguu swaumu na peanut butter)

Gantargal

Member
Joined
Dec 25, 2014
Posts
74
Reaction score
5
Molii products inakuletea
Home made chill (pilipili) bei ni elfu 5,000.

Garlic paste(vitunguu swaumu) 6,000/=.

Peanut butter 5,000/=
Products zetu ni nzuri sana ukizitumia hautoacha

Kwa maelezo zaida piga 0783 132193

Karibuni!

1449216492030.jpg
 
Karibuni sana 0783 132193 kwa maelezo
 
Attachments

  • 1449216734208.jpg
    1449216734208.jpg
    51.9 KB · Views: 186
Hongera sana mkuu, kwa package nzuri sana ya bidhaa yako.

Vipi kwa mjasiriamali mdogo Kama mimi naruhusiwa kupiga simu angalau kujua vitu vichache kuhusiana na package ya bidhaa? Tunaweza kujifunza kupitia kwako.
 
Gantargal unatafuta pesa mpaka unakera.... nahitaji nikujoin tufanye biashara pamoja.
 
Last edited by a moderator:
Hongera sana mkuu, kwa package nzuri sana ya bidhaa yako.

Vipi kwa mjasiriamali mdogo Kama mimi naruhusiwa kupiga simu angalau kujua vitu vichache kuhusiana na package ya bidhaa? Tunaweza kujifunza kupitia kwako.

Asante sana nashukuru!usijali nitafute haina shida
 
Naipenda sana ile biashara ya chakula umeacha?? Ningependa kujifunza pia kutoka kwako
 
Packaging not bad,branding too plain,label need improving but umejitaidi,hata kina barhesa walianza kwa kuuza maandazi
 
Habari Kaka.. naomba kujua, mm Nina product yangu ya Garlic past na ginger paste.. Je naweza kupata SOKO kupitia kwako Kaka?
 
Back
Top Bottom