Utasikia Simba wanataka kuandamana uchi kupinga maamuzi ya TFF.Yanga walivyowalalamishi TFF inakwepa kama haro
Aliyethibitisha kwamba ukionesha kidole cha kati ni uhuni ni nana? Na kwanini kidole cha kati? Mbona Chadema na CCM hutumia alama ya vidole kusalimiana na hakuna anayesema ni uhuni?Nimeona David Molinga akihukumiwa kwa kosa la kuonyesha kidole chake kati
Kosa hilo hilo amelifanya Yannick Bangala game na Simba SC, sijajua ni utaratibu gani umetumika
Lakini Bangala alistahili adhabu kwa kitendo kile.
Kwanini TFF inaogopa hizi timu Kibwa...?
Sisi wanajangwani ni wapenda Fair Competition timeumizwa na kitendo cha Bangala kufanya uhuni pasi na kuadhibiwa.
Vitendo kama vile vina fifisha heshima na taswira njema ya klabu kubwa kama Dar es salaam Young Africans SC.
Kwani kitendo kile bangala alikifanya kwenye ligi ipi tuanzie apo kwanza, ilikuwa ligi kuu au ngao ya hisani, ngao ya hisani inao utaratibu wake ni tukio la siku moja na kila kitu kinaishia apo ndo maana lazima mshindi apatikane siku iyo iyo, kwaiyo ulitegemea wangemfungia kucheza ngao za hisani zinazofuata au ulifikiliaje? Kwamba angefungiwa mechi za ligi kuu? Brother kila jambo lina kanuni zake kawaulize tff watakupa majibu mazuri ya icho unachokifikilia, ata kama angepata kadi nyekundu ingeishia pale pale kwenye iyo mechi na si vinginevyoNimeona David Molinga akihukumiwa kwa kosa la kuonyesha kidole chake kati
Kosa hilo hilo amelifanya Yannick Bangala game na Simba SC, sijajua ni utaratibu gani umetumika
Lakini Bangala alistahili adhabu kwa kitendo kile.
Kwanini TFF inaogopa hizi timu Kibwa...?
Sisi wanajangwani ni wapenda Fair Competition timeumizwa na kitendo cha Bangala kufanya uhuni pasi na kuadhibiwa.
Vitendo kama vile vina fifisha heshima na taswira njema ya klabu kubwa kama Dar es salaam Young Africans SC.
Sasa itakuajeNimeona David Molinga akihukumiwa kwa kosa la kuonyesha kidole chake kati
Kosa hilo hilo amelifanya Yannick Bangala game na Simba SC, sijajua ni utaratibu gani umetumika
Lakini Bangala alistahili adhabu kwa kitendo kile.
Kwanini TFF inaogopa hizi timu Kibwa...?
Sisi wanajangwani ni wapenda Fair Competition timeumizwa na kitendo cha Bangala kufanya uhuni pasi na kuadhibiwa.
Vitendo kama vile vina fifisha heshima na taswira njema ya klabu kubwa kama Dar es salaam Young Africans SC.
🤔🤔🤔🤔 Unamaanishaa au limekutoka tu kwa bahati mbaya?Kwani kitendo kile bangala alikifanya kwenye ligi ipi tuanzie apo kwanza, ilikuwa ligi kuu au ngao ya hisani, ngao ya hisani inao utaratibu wake ni tukio la siku moja na kila kitu kinaishia apo ndo maana lazima mshindi apatikane siku iyo iyo, kwaiyo ulitegemea wangemfungia kucheza ngao za hisani zinazofuata au ulifikiliaje? Kwamba angefungiwa mechi za ligi kuu? Brother kila jambo lina kanuni zake kawaulize tff watakupa majibu mazuri ya icho unachokifikilia, ata kama angepata kadi nyekundu ingeishia pale pale kwenye iyo mechi na si vinginevyo
Kama hapa hajaelewa basi atamuwa pimbiKwani kitendo kile bangala alikifanya kwenye ligi ipi tuanzie apo kwanza, ilikuwa ligi kuu au ngao ya hisani, ngao ya hisani inao utaratibu wake ni tukio la siku moja na kila kitu kinaishia apo ndo maana lazima mshindi apatikane siku iyo iyo, kwaiyo ulitegemea wangemfungia kucheza ngao za hisani zinazofuata au ulifikiliaje? Kwamba angefungiwa mechi za ligi kuu? Brother kila jambo lina kanuni zake kawaulize tff watakupa majibu mazuri ya icho unachokifikilia, ata kama angepata kadi nyekundu ingeishia pale pale kwenye iyo mechi na si vinginevyo
Ebu tupe ufafanuzi wewe unaejua, hoja upingwa kwa hoja na sio kihoja! Tuambie sisi tusiojua ili tuelewe basi🤔🤔🤔🤔 Unamaanishaa au limekutoka tu kwa bahati mbaya?
Kaka Jambo Kama hulijui ukikausha tu unapungukiwa Nini?
Wewe usichanganye mambo, adhabu ya mukoko na morrison ilikuwa ni ya kombe la FA msimu ulioisha na sio ngao ya jamii, na unapopata kadi nyekundu kombe la FA adhabu inaendelea mpaka kwenye mechi zinazofuata tofauti na ngao ya hisani!Kama kafanya kosa kweli adhabu inamhusu haijalishi ilikuwa ngao ya hisani Kwa kuwa zote chini ya bodi ya ligi ndo hata mukoko hakucheza pia Morison
Makorokocho FC unyonge hausaidiiNimeona David Molinga akihukumiwa kwa kosa la kuonyesha kidole chake kati
Kosa hilo hilo amelifanya Yannick Bangala game na Simba SC, sijajua ni utaratibu gani umetumika
Lakini Bangala alistahili adhabu kwa kitendo kile.
Kwanini TFF inaogopa hizi timu Kibwa...?
Sisi wanajangwani ni wapenda Fair Competition timeumizwa na kitendo cha Bangala kufanya uhuni pasi na kuadhibiwa.
Vitendo kama vile vina fifisha heshima na taswira njema ya klabu kubwa kama Dar es salaam Young Africans SC.
Lwanga alikula umeme ile mechi ila aliadhibiwa kwa kukosa mechi za Ligi kuu, kama ingekuwa siku moja adhabu ingeisha siku ileile. Unatakiwa ujue ngao ya jamii ni ufunguzi wa ligi na ina uhusiano nayo, usiwe shabiki bendera tuKwani kitendo kile bangala alikifanya kwenye ligi ipi tuanzie apo kwanza, ilikuwa ligi kuu au ngao ya hisani, ngao ya hisani inao utaratibu wake ni tukio la siku moja na kila kitu kinaishia apo ndo maana lazima mshindi apatikane siku iyo iyo, kwaiyo ulitegemea wangemfungia kucheza ngao za hisani zinazofuata au ulifikiliaje? Kwamba angefungiwa mechi za ligi kuu? Brother kila jambo lina kanuni zake kawaulize tff watakupa majibu mazuri ya icho unachokifikilia, ata kama angepata kadi nyekundu ingeishia pale pale kwenye iyo mechi na si vinginevyo
Acha ujinga pamoja na kula umeme lwanga aliumia goti mpaka sasa ndo maana aonekani angekuwa fiti angerndelea kucheza kama kawaida akuna kinachomzuiaLwanga alikula umeme ile mechi ila aliadhibiwa kwa kukosa mechi za Ligi kuu, kama ingekuwa siku moja adhabu ingeisha siku ileile. Unatakiwa ujue ngao ya jamii ni ufunguzi wa ligi na ina uhusiano nayo, usiwe shabiki bendera tu