demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Nimeona David Molinga akihukumiwa kwa kosa la kuonyesha kidole chake kati
Kosa hilo hilo amelifanya Yannick Bangala game na Simba SC, sijajua ni utaratibu gani umetumika
Lakini Bangala alistahili adhabu kwa kitendo kile.
Kwanini TFF inaogopa hizi timu Kibwa...?
Sisi wanajangwani ni wapenda Fair Competition timeumizwa na kitendo cha Bangala kufanya uhuni pasi na kuadhibiwa.
Vitendo kama vile vina fifisha heshima na taswira njema ya klabu kubwa kama Dar es salaam Young Africans SC.