Kitendo cha Molinga kutolewa na kwenye mechi dhidi ya biashara kilimuudhi akaamua kuondoka uwanjani si mara ya kwanza kuna mechi moja ya Ligi alitolewa tena timu ikiwa chini ya Zahera alionesha kutoridhika na maamuzi
Hivi Ndama kwa kiwango kipi anachokionesha hadi asifanyiwe sub Kagere the best striker anatolewa na anakubali yeye Ndama ni nani ajifunze kwa Tshimbi na Makambo na ikiwezekana awaulize
Nawasilisha