Molinga Ndama jitathimini

Molinga Ndama jitathimini

Kalolelo

Senior Member
Joined
Oct 17, 2018
Posts
164
Reaction score
244
Kitendo cha Molinga kutolewa na kwenye mechi dhidi ya biashara kilimuudhi akaamua kuondoka uwanjani si mara ya kwanza kuna mechi moja ya Ligi alitolewa tena timu ikiwa chini ya Zahera alionesha kutoridhika na maamuzi

Hivi Ndama kwa kiwango kipi anachokionesha hadi asifanyiwe sub Kagere the best striker anatolewa na anakubali yeye Ndama ni nani ajifunze kwa Tshimbi na Makambo na ikiwezekana awaulize

Nawasilisha
 
Molinga ni mzito sana, badala ya kukasirika angefanya mazoez ya kupunguza uzito.
 
Hakuna mchezaji pale! Kuna wakati huwa namuelewa sana Mkwasa. Wamsitishie tu mkataba wake wa hiyo miezi yake michache iliyobaki ili akatafute maisha mahali pengine.
 
Back
Top Bottom