Umeandika uharo mreefu mkuu,.sasa we ulitaka wamnunulie soda anywe?Ni adhabu ya kinyama , ya kizamani, iliyopitwa na wakati ambayo haikustahili kutolewa na watu wanaomwamini Mungu tena kwenye nyumba ya toba ambayo huja watu na madhambi mbalimbali kutakaswa labda Mungu wanaomwamini wao awe tofauti. Imeonyesha aina ya watu pamoja na wanachokiamini katika mafundisho yao na najuiliza kama Mungu ndiye alimtuma mmoja wapo wa wajumbe wake kuja kuwajaribu imani yao katika suala la msamaha huo mtihani si wameshindwa? adhabu kama hiyo vyombo vya dola wala hawathubitu kuitoa sembuse watu wanaosali kila dakika kumuomba Mungu? naomba vyombo vya dola huko mombasa kama vipo vichukue mkondo wake kwa waliofanya unyama huo.
HahaaaaUmeandika uharo mreefu mkuu,.sasa we ulitaka wamnunulie soda anywe?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umeandika uharo mreefu mkuu,.sasa we ulitaka wamnunulie soda anywe?
Imekuuma sana, na mkome kabisa kutuibia viatu. Wewe hapo tukikushika tutakulisha mdalasini. 😀Ni adhabu ya kinyama , ya kizamani, iliyopitwa na wakati ambayo haikustahili kutolewa na watu wanaomwamini Mungu tena kwenye nyumba ya toba ambayo huja watu na madhambi mbalimbali kutakaswa labda Mungu wanaomwamini wao awe tofauti. Imeonyesha aina ya watu pamoja na wanachokiamini katika mafundisho yao na najuiliza kama Mungu ndiye alimtuma mmoja wapo wa wajumbe wake kuja kuwajaribu imani yao katika suala la msamaha huo mtihani si wameshindwa? adhabu kama hiyo vyombo vya dola wala hawathubitu kuitoa sembuse watu wanaosali kila dakika kumuomba Mungu? naomba vyombo vya dola huko mombasa kama vipo vichukue mkondo wake kwa waliofanya unyama huo.
[emoji3] [emoji3]Umeandika uharo mreefu mkuu,.sasa we ulitaka wamnunulie soda anywe?
Ulitaka wampe ice creamNi adhabu ya kinyama , ya kizamani, iliyopitwa na wakati ambayo haikustahili kutolewa na watu wanaomwamini Mungu tena kwenye nyumba ya toba ambayo huja watu na madhambi mbalimbali kutakaswa labda Mungu wanaomwamini wao awe tofauti. Imeonyesha aina ya watu pamoja na wanachokiamini katika mafundisho yao na najuiliza kama Mungu ndiye alimtuma mmoja wapo wa wajumbe wake kuja kuwajaribu imani yao katika suala la msamaha huo mtihani si wameshindwa? adhabu kama hiyo vyombo vya dola wala hawathubitu kuitoa sembuse watu wanaosali kila dakika kumuomba Mungu? naomba vyombo vya dola huko mombasa kama vipo vichukue mkondo wake kwa waliofanya unyama huo.
juzi huko singida kuna muumini wa dhehebu furani amepigwa bunduki na Askari tena kanisani sasa sijui unamaanisha niniNi adhabu ya kinyama , ya kizamani, iliyopitwa na wakati ambayo haikustahili kutolewa na watu wanaomwamini Mungu tena kwenye nyumba ya toba ambayo huja watu na madhambi mbalimbali kutakaswa labda Mungu wanaomwamini wao awe tofauti. Imeonyesha aina ya watu pamoja na wanachokiamini katika mafundisho yao na najuiliza kama Mungu ndiye alimtuma mmoja wapo wa wajumbe wake kuja kuwajaribu imani yao katika suala la msamaha huo mtihani si wameshindwa? adhabu kama hiyo vyombo vya dola wala hawathubitu kuitoa sembuse watu wanaosali kila dakika kumuomba Mungu? naomba vyombo vya dola huko mombasa kama vipo vichukue mkondo wake kwa waliofanya unyama huo.
Na mkurugenzijuzi huko singida kuna muumini wa dhehebu furani amepigwa bunduki na Askari tena kanisani sasa sijui unamaanisha nini
Sent using Jamii Forums mobile app