MOMBASA: Alishwa pilipili baada ya kukamatwa akiiba viatu Msikini

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,621
Reaction score
8,411
Kijana huyu kwenye video niliyoiambatanisha amekamatwa kwenye Msikiti wa Sakina uliopo Mombasa kwa tuhuma za kuiba viatu

Inaelezwa kuwa ni tabia yake na amekuwa akizunguka kwenye Misikiti mbalimbali ya Mombasa na kufanya uhalifu huo

Kupitia video hii anasikika akikiri kufanya kosa hilo na kumuuzia Mtu aliyemtaja kwa jina la Felix
 
Attachments

Ni adhabu ya kinyama , ya kizamani, iliyopitwa na wakati ambayo haikustahili kutolewa na watu wanaomwamini Mungu tena kwenye nyumba ya toba ambayo huja watu na madhambi mbalimbali kutakaswa labda Mungu wanaomwamini wao awe tofauti. Imeonyesha aina ya watu pamoja na wanachokiamini katika mafundisho yao na najuiliza kama Mungu ndiye alimtuma mmoja wapo wa wajumbe wake kuja kuwajaribu imani yao katika suala la msamaha huo mtihani si wameshindwa? adhabu kama hiyo vyombo vya dola wala hawathubitu kuitoa sembuse watu wanaosali kila dakika kumuomba Mungu? naomba vyombo vya dola huko mombasa kama vipo vichukue mkondo wake kwa waliofanya unyama huo.
 
Umeandika uharo mreefu mkuu,.sasa we ulitaka wamnunulie soda anywe?
 
Ni adhabu ya kinyama , ya kizamani, iliyopitwa na wakati ambayo haikustahili kutolewa na watu wanaomwamini Mungu tena kwenye nyumba ya toba ambayo huja watu na madhambi mbalimbali kutakaswa labda Mungu wanaomwamini wao awe tofauti. Imeonyesha aina ya watu pamoja na wanachokiamini katika mafundisho yao na najuiliza kama Mungu ndiye alimtuma mmoja wapo wa wajumbe wake kuja kuwajaribu imani yao katika suala la msamaha huo mtihani si wameshindwa? adhabu kama hiyo vyombo vya dola wala hawathubitu kuitoa sembuse watu wanaosali kila dakika kumuomba Mungu? naomba vyombo vya dola huko mombasa kama vipo vichukue mkondo wake kwa waliofanya unyama huo.
Imekuuma sana, na mkome kabisa kutuibia viatu. Wewe hapo tukikushika tutakulisha mdalasini. 😀
 
Kazi ipo akienda chooni ******utawaka moto
 
Ni adhabu ya kinyama , ya kizamani, iliyopitwa na wakati ambayo haikustahili kutolewa na watu wanaomwamini Mungu tena kwenye nyumba ya toba ambayo huja watu na madhambi mbalimbali kutakaswa labda Mungu wanaomwamini wao awe tofauti. Imeonyesha aina ya watu pamoja na wanachokiamini katika mafundisho yao na najuiliza kama Mungu ndiye alimtuma mmoja wapo wa wajumbe wake kuja kuwajaribu imani yao katika suala la msamaha huo mtihani si wameshindwa? adhabu kama hiyo vyombo vya dola wala hawathubitu kuitoa sembuse watu wanaosali kila dakika kumuomba Mungu? naomba vyombo vya dola huko mombasa kama vipo vichukue mkondo wake kwa waliofanya unyama huo.
Ulitaka wampe ice cream
Adhabu hyo tosha kbsa....ingekuwa kwetu Tandale ingekuwa stori nyingine sahv

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Noma sana yaani balaa, japo bahati yake maana ingekua msikiti wa kule uarabuni angekatwa mkono au kichwa.
 
Ni adhabu ya kinyama , ya kizamani, iliyopitwa na wakati ambayo haikustahili kutolewa na watu wanaomwamini Mungu tena kwenye nyumba ya toba ambayo huja watu na madhambi mbalimbali kutakaswa labda Mungu wanaomwamini wao awe tofauti. Imeonyesha aina ya watu pamoja na wanachokiamini katika mafundisho yao na najuiliza kama Mungu ndiye alimtuma mmoja wapo wa wajumbe wake kuja kuwajaribu imani yao katika suala la msamaha huo mtihani si wameshindwa? adhabu kama hiyo vyombo vya dola wala hawathubitu kuitoa sembuse watu wanaosali kila dakika kumuomba Mungu? naomba vyombo vya dola huko mombasa kama vipo vichukue mkondo wake kwa waliofanya unyama huo.
juzi huko singida kuna muumini wa dhehebu furani amepigwa bunduki na Askari tena kanisani sasa sijui unamaanisha nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom