Ta-kibombo
JF-Expert Member
- Dec 4, 2015
- 644
- 503
Tupoteze muda kuichambua hiyo ngalawa/jahazi!!?Aitwe aje ajifunze,labda yeye anayo kauelewa zaidi yenu maana nawashangaa hadi sasa hamjajua au kuelewa hizi taarifa.
Narudia tena, boti tunazitengeneza hata zaidi yenu, lakini sifa za hii haipo ukanda wote huu. Msiwe mamburula wa kuangalia muonekano, muwe mnajifunza kuchambua na sifa pia.