Mombasa City Gallery

Mombasa City Gallery

Lete mada tuone
dar itahemeshwa na Mombasa mbaya sana.....ebu niambie tofauti ya dar na msa kwenye izo picha mmeeka?mnajenga flyover ya kwanza dar wakati mombasa ina maliza six lane road na flyover.dar ina ukubwa tu wa bure
 
Mombasa+Nairobi +nakuru=Dar
 
Nikuulize dada, hapo ni CBD?? Yaani mwanzo niulize, barabara hii mbona vumbi kotekote, halafu kandokando hamna sidewalks, na vibanda hivyo vyafanya nini katikati ya jiji??? Sehemu tupu ambazo zinafanya huo mji ukae si mji tena
Capture.JPG
 
Hapo sio cbd boya wewe.

Hata kama! Nyumba hizo nzuri, lakini mahali zimejengwa, daah!! Taaban.

Mjue Mombasa sio mji wa majumba marefu, ni kama lamu, sababu watu wengi huku hudumisha "The Swahili Culture" Mombasa is not about towers, but the Heritege, just like Lamu, That is why houses like Fort Jesus has been preserved. Many Houses in The CBD are heritege sites and are not to be demolished. Na hayo yote, bado Mombasa safi sana.
 
Ilo ni jiji gani vile...msijesema ni upper hill na west land maana hamshindwi
637631c2a5b58c3a8ce9d60675bbe069.jpg
 
Back
Top Bottom