[Tanga ya Tajiri]
Senior Member
- Aug 30, 2015
- 183
- 49
Upumbavu huo unaosema ,,,Kwenu nyie wakenya Yafaa Sana Mombasa kuwa Ni mji wa PiLi kwa Ukubwa ,,,Coz Hata ivo Kenya Ni nchi ndogo Sana kieneo ,,Tofauti na Tanzania ,,,Iyo mombasa Yenu huku Tanzania Ni sawa Na mkoa wetu mdogo wa Morogoro [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ,,,,Ukubwa wa Tanga Ni sawa na Malindi Watamu Lamu na Kilifi ,,,,Zote ziungane ndo Unapata Tanga mji wa TangaMombasa si mji wa kijinga. Mombasa ni second City ya Kenya. Kuna ata maeneo ya kifahari mengi sana. Mombasa si mji hivi hivi. Na Tanga linganisha na Malindi au Lamu
Hujui Lolote wewebu msifananishe Mombasa na maradhi ya dar is slum.....Mombasa raha bana
Sio mombasa thu ,,,Kenya Ni nchi ndogo Sana kwa Tanzania,, Unakataa na Hapo ??Sasa mmeamini Mombasa si mji mdogo??🙂
Hahahahaha waambie hao ndugu Yangu ,,,,Kifupi wakenya watasubiri Sana kwetu ,,,Nchi yetu Tanzania imebarikiwa vitu vingi ,,,,Mbona kila nikiangalia picha hizo
Zina jirudia rudia
Majengo 2 kila picha yapo!!!
Sure!
Mombasa Ni Kadogo Sana Kwa Tanga ,,,,Nakwambia Japo Moja Kama tanga itapata uongozi mzuri na watu wake wakaelimika wakaachana na Umwinyi ,,,,Tanga itakuwa Ni mji wenye maendeleo East Africa nzima ,,,,Na itawakilisha Coastal zote za Africa masharikiPicha ni zile zile, wanapiga toka angle tofauti.
Mombasa ni mdogo kuliko Tanga.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] HawatawezaaaaaaKumbe ndio maana mnapigizana makelele na wale jamaa!!
Kwanini mnaitaja taja Dar
Wakati habari yenu hii ni Mombasa?
Mngefanya mkaanzisha Dar vs mombasa tuone
Hahahhah mwambie huyo zuzuSio cbd hapo...alafu ww boga kumbe ata Dar ujafika unaongea kama fala
Watu wengi nje ya Africa hawajui kuna nchi kama Tanzania. Watu wengi hufikiria Tanzania ni moja ya mikoa ya KEnya. Ndio maana utaskia wakisema Mt. Kilimanjaro uko Kenya.YANI NDUGU ZANGU WAKENYA BHANA [emoji23][emoji23][emoji23] MUMENISHINDA TABIA ZENU KWA KWELI ,,,,,,HABARI NLIZOPEWA ETI naskia mwatangaza kuwa ,,Mount Kilimanjaro iko kenya ? [emoji27][emoji27][emoji27] niskia pia mwasema Eti Ali Kiba na Diamond platinumz Ni wakenya ,,huh what ![emoji32][emoji32] nikaskia Tena eti Kigamboni bridge iko kenya [emoji12][emoji12] na Hamkutosheka MkaTamani MagufuLi awe Pia President wa Kenya [emoji26][emoji26],,,,,Hivi nyie mwatutafuta nini Jamani ????? Rizikeni na Mlivonavo kwenye Nchi Yenu ,,,,,Eboooooooooooo [emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
Tulianzisha moja ya Nakuru na Mwanza watu toka TZ wakaiharibu, wakishaona mambo yamewazidi, Sasa hii ya Mombasa na Dar ndio wataharibu kabisa, huyu jamaa aitwa Anneal na mwenzake kadoda, huwa hawawezi vumilia kabisa kuona miji yao inanyooshwa na miji ya Kenya. Anzisha huo uzi Mombasa na Dar utaona, kurasa nne tu halafu utaona wemesha haribu
Ilo ni jiji gani vile...msijesema ni upper hill na west land maana hamshindwi
acheni kulinganisha dsm na huo ujinga wa mombasa. kwanza huu uzi unahusu upumbavu wa mombasa sijui dar es salaam imeingiaje kwenye hii dust bin.
Hivi uliwahi kupata A ata ya somo moja shuleni ww kilaza?Only 3 towers, the rest are just ordinary buildings. Jiji lakaa Kabul Kabul hivi.
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Only 3 towers, the rest are just ordinary buildings. Jiji lakaa Kabul Kabul hivi.
Kaa pembeniMje huku hawa wakenya wanaleta dharau!!!
Ilo ni jiji gani vile...msijesema ni upper hill na west land maana hamshindwi