Mombasa City Gallery

Mombasa City Gallery

ni wazi Mombasa is better than dar.....watanzania muwe watu wa kukubali vitu
 
One after another, ndio utaelewa mji si majumba marefu ama ukubwa, ni uzuri wake!!
Wacha maneno na Polojo twende

15a72b28b437474396e24178371b1cde.jpg
255c41b559f8581bbc914440da63cd12.jpg
 
Mtoto akililia wembe wacha umpe Fundisho
leo tunakata mdomo
 
Man unabonga shit sana....iyo ni picha ya cbd. ...hapo kariakoo huoni..huioni upanga wala sehemu nyingine kibao...acha kutapika ovyo ushindi hauji kirahisi namna hyo
Kumbe kuna mTz anajua maana ya bonga
 
Dar ni Jiji au Sehemu chafu kuliko zote Tanzania, Watu wote wenye matatizo kichwani wanaishi Dar, Muda huu uliopost wapo kwenye foleni kufika Nyumbani saa tano za usiku, Dar baadhi ya maeneo hali ya hewa wanayovuta ni chafu yenye ukaa, Dar ni nzuri kwa wateule wachache wanaotembea na vingo 'ora wengine hali zao ni stress
Weee foleni sikuhiz ni kwa wenye magari binafsi tu kuna brt yani fasta uko home
 
Weee foleni sikuhiz ni kwa wenye magari binafsi tu kuna brt yani fasta uko home

Kinondoni kwa mtogole huko, Sinza, Msewe huko ni kuchafu kunanuka Plus wakazi wake wachafu mtu anaelekea kwake anaanza kununa, Au unaongelea mwenge huko nyumba ni slums hata pa kupita shidaa, Dar nzuri kwa wazee wa misafara aka ving'ora
 
Mombasa bado mmekomaa na Magari mabovu ,,,,Magari Kama Mashimo ya Handaki ,,,,etu Munaita mabasi Yenu Matatu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
 
Dar ni Jiji au Sehemu chafu kuliko zote Tanzania, Watu wote wenye matatizo kichwani wanaishi Dar, Muda huu uliopost wapo kwenye foleni kufika Nyumbani saa tano za usiku, Dar baadhi ya maeneo hali ya hewa wanayovuta ni chafu yenye ukaa, Dar ni nzuri kwa wateule wachache wanaotembea na vingo 'ora wengine hali zao ni stress
Unaongea Upumbavu Gani ,,,Huna Unachokijua Juu ya Jiji Letu
 
Kinondoni kwa mtogole huko, Sinza, Msewe huko ni kuchafu kunanuka Plus wakazi wake wachafu mtu anaelekea kwake anaanza kununa, Au unaongelea mwenge huko nyumba ni slums hata pa kupita shidaa, Dar nzuri kwa wazee wa misafara aka ving'ora
Wewe unaongea kimhemko kama umepigwa stater hueleweki
 
Back
Top Bottom