Mombasa City Gallery

Daah!! Mombasa safi sana!!! Hapo umetosha kuonesha Mombasa ishaibwaga Dar kwa mbali tena!! Asante kwa hzo picha kali!! Hebu tupe zingine
we Dar unaijua kwa kenya inazidiwa na nairobi yu Dar ya sasa sio ya kipindi kile dar imeendelea sana au hujaona picha zake uone
 
we Dar unaijua kwa kenya inazidiwa na nairobi yu Dar ya sasa sio ya kipindi kile dar imeendelea sana au hujaona picha zake uone
Hahaha hawa watu hujidanganya
tulisha wazoea
 
Dar hata cku moja haiwezi linanisha na mombasa ,mombasa iko chini Dar ipo juu sana Dar ilinhanishe na miji mkubwa cio mombasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…