Mombasa City Gallery

if a Tz started a thread about Dar City gallary, no kenyan will post pics about a kenyan city, people will just comment on the pics (nefatively or positively) .....
But Tanzanians have to start posting there own pics on a kenyan thread that got nothing to do with tz............ it shows just how much inferiority complex you guys have..... trust your cities are good enough and be confident about it, why do you have to come here to start a campaign?
 
....actually no one does so until when you start tagging tz's
Nyie ndio huchokoza nyuki, huku kwenye dar photos hutaona tunahangaika na mji wenu wa kibera.
 
SwahiLi culture ipo Tanzania,, Nyie wakenya asiowajua Nani kuwa munaiga Tamaduni za nchi za watu ,,Hakuna Mulichokibakisha huko ,,, Iyacheni Tanzania Kama iLivo ,,Hamuipati kwa Lolote

When a fool keeps quiet he is deemed intelligent. You better. Just saying
 
We lakini limbukeni, nini?? Hebu onyesha kwa picha nyumba hata moja Dar iliyo na archtecture ya Kiswahili, Design za Swahili hutokana na za Kiarabu, Dar ipo hata moja!!??

Like this ones in Mombasa
Kijana We Dar huijui kumbe ,,,Izo nyumba za ka kale zipo Dar ,Tena zipo sehem Maalum
 
Tanzanians confuse knowing Kiswahili and having a Swahili culture, this is the swahili dress code in Mombasa








 
Kijana We Dar huijui kumbe ,,,Izo nyumba za ka kale zipo Dar ,Tena zipo sehem Maalum

Sasa nakuambia, huo mtindo ndio bado upo Mombasa, nyumba zinajengwa kwa kuzingatia huo mtindo, muacha mila ni mtumwa. hadi sasa bado Mombasa inadumisha Swahili culture
Look at the Sultan Palace under construction
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…