Mombasa City Gallery

Mombasa City Gallery

4d001ad4a2f5f746e1070b11540b6286.jpg
 
Aaah! Mwehu mkubwa
Ukimaliza kupost vipicha vya gorofa hizo tano vikiisha unaleta mambo ya vijiweni hapa, rudi kule ukachonge!
Nakuona ubwabwa wa mombasa unamtetea mchele wa kilifi [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31]
 
Unataka kujifariji ama vipi??
haya ni majumba mawili?? Kumbuka tulienda Nyumba kwa nyumba, mkatoroka, maksema hoteli kwa hoteli, makatoroka mkarudi na vipicha vya TPA
c55rlduxqaa3zms-jpg.476046

Hawajiwezi hawa... wachana nao.
 
Hawajiwezi hawa... wachana nao.
Kuna kijana emefika kwenye uzi wa nairobi anaharibu na vipicha vya Dar es Slum, kuongea naye imekuwa shida, Depay, jaribu kumuelimisha hata kama ni vigumu kufanza mbongo!
 
Dar kulinganishwa na miji ya kenya lazima upambanishe DAR VS NAIROBI AND MOMBASA.

hakuna namna maana hata WORLD BANK wamerank DAR ES SALAAM inaizidi NAIROBI zaidi ya US dollar Bil 3.sasa hapo tafakari haswa ni mji ipi una thaman ya majengo na miundombinu
 
Mombasa is has taken over na sasa dar inasoma number
Largest sea port - Mombasa
Newcontainerterminal.jpg

Moi Airport - Dar ndio wanajenga hata hawana, yao taaban kwa sasa
2606841.jpg


Marina's - English point the only Marina on the Indian Ocean Coast line, two others coming to Mombasa, Dar has non
English Point Marina
english-point-marina9.jpg


Shehena Marina near completion
sh-11.jpg


Mombasa Hills Marina
HOUF-COMPOUND-1-2-1200x600.jpg


Beautiful amenities, hotels, Resorts, etc - dar bado wanasoma number.
Housing in Mombasa is in its own league that you cant compare with Dar
front.jpg
restaurant-outside-view.jpg
07.jpg
 
And now comes the SGR and the Cruise Ship terminal
Port Station (SGR) For Cargo, reclaimed from the sea
17352502_1746379905582753_1750465645186309753_n.jpg


SGR Mombasa West Station

68bd.jpg


In No time, Mombasa will be way ahead of Dar
We hushangai miji yenu yote mnacompare na Dar pekee...yani nai na Dar,uku mombasa na Dar. ...Dar ni kubwa kuliko Kenya ,hahaha
 
Back
Top Bottom