Mombasa City Gallery


Ficha upumbavu wako
mlianza ujinga wenu ninyi wenyewe!!
Mlikuwa mkiitaja Dar kwa nini
ikiwa hii ni kuhusu Mombàsa pekee
 
Niwape mipicha kadhaa kama sijalala, mji huu Mombasa Tosha, Mji wa watu kuishi kwa raha zao kama sultan vile

















 
Lamu ndo mji ninao upenda kwa kenya ,,,Watu wastaharabu Kama sie Tusiopenda bughdha twatakiwa tukae sehem Kama Lamu ,watamu ,,,kwa Kenya [emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…