Mombasa City Gallery

Arusha ina hotels nyingi , Mombasa two times, hapo achana na Zanzibar.
Nairobi kule ni Matope tu, hamna kitu kule zaidi ya real estate ambapo bado majority (2.5mn) wanaishi kibera.
yaani sijawahi kuona mtu mpumbavu kama game over
 
Aaah! Mwehu mkubwa
Ukimaliza kupost vipicha vya gorofa hizo tano vikiisha unaleta mambo ya vijiweni hapa, rudi kule ukachonge!
Nakuona ubwabwa wa mombasa unamtetea mchele wa kilifi [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31]
 
Nakuona ubwabwa wa mombasa unamtetea mchele wa kilifi [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31]
HHhhhhhhh! Wewe ni mchokozi sana, kwenye nyuzi zote, uchokozi
 
Unataka kujifariji ama vipi??
haya ni majumba mawili?? Kumbuka tulienda Nyumba kwa nyumba, mkatoroka, maksema hoteli kwa hoteli, makatoroka mkarudi na vipicha vya TPA

Hawajiwezi hawa... wachana nao.
 
Hawajiwezi hawa... wachana nao.
Kuna kijana emefika kwenye uzi wa nairobi anaharibu na vipicha vya Dar es Slum, kuongea naye imekuwa shida, Depay, jaribu kumuelimisha hata kama ni vigumu kufanza mbongo!
 
Dar kulinganishwa na miji ya kenya lazima upambanishe DAR VS NAIROBI AND MOMBASA.

hakuna namna maana hata WORLD BANK wamerank DAR ES SALAAM inaizidi NAIROBI zaidi ya US dollar Bil 3.sasa hapo tafakari haswa ni mji ipi una thaman ya majengo na miundombinu
 
Mombasa is has taken over na sasa dar inasoma number
Largest sea port - Mombasa

Moi Airport - Dar ndio wanajenga hata hawana, yao taaban kwa sasa


Marina's - English point the only Marina on the Indian Ocean Coast line, two others coming to Mombasa, Dar has non
English Point Marina


Shehena Marina near completion


Mombasa Hills Marina


Beautiful amenities, hotels, Resorts, etc - dar bado wanasoma number.
Housing in Mombasa is in its own league that you cant compare with Dar
 
And now comes the SGR and the Cruise Ship terminal
Port Station (SGR) For Cargo, reclaimed from the sea


SGR Mombasa West Station



In No time, Mombasa will be way ahead of Dar
We hushangai miji yenu yote mnacompare na Dar pekee...yani nai na Dar,uku mombasa na Dar. ...Dar ni kubwa kuliko Kenya ,hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…