mombasite gabriel
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 387
- 372
- Thread starter
-
- #61
Si nilisikia daraja la Kigamboni ndilo la kwanza na la aina yake Afrika nzima, hili linatoka wapi tena!?
Jamaa wameokota picha mtandaoni ya daraja la Christchurch pale New Zealand halafu wanasema ni lao..!Si nilisikia daraja la Kigamboni ndilo la kwanza na la aina yake Afrika nzima, hili linatoka wapi tena!?
Nyali Bridge Mombasa iyo...acha maneno mengiJamaa wameokota picha mtandaoni ya daraja la Christchurch pale New Zealand halafu wanasema ni lao..!
Kenyans sina hamu nao kwa kutembelea nyota za wenzao tu hawajambo.
Si nilisikia daraja la Kigamboni ndilo la kwanza na la aina yake Afrika nzima, hili linatoka wapi tena!?
Jamaa wameokota picha mtandaoni ya daraja la Christchurch pale New Zealand halafu wanasema ni lao..!
Kenyans sina hamu nao kwa kutembelea nyota za wenzao tu hawajambo.