Mombasa City Gallery

Mombasa City Gallery

13774652_631623353654070_1688263916_n.jpg
 
Si nilisikia daraja la Kigamboni ndilo la kwanza na la aina yake Afrika nzima, hili linatoka wapi tena!?
Jamaa wameokota picha mtandaoni ya daraja la Christchurch pale New Zealand halafu wanasema ni lao..!

Kenyans sina hamu nao kwa kutembelea nyota za wenzao tu hawajambo.
 
Jamaa wameokota picha mtandaoni ya daraja la Christchurch pale New Zealand halafu wanasema ni lao..!

Kenyans sina hamu nao kwa kutembelea nyota za wenzao tu hawajambo.

Acha kutia aibu. Mpaka nimesikia aibu mwenyewe on your behalf. Tembea uone mengi. That is Nyali bridge in Mombasa. Kigambo vijiti vya viberiti...
 
Back
Top Bottom