Mombasa "City": Old, filth and potholes kila mahali

Cicero

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2016
Posts
2,924
Reaction score
3,074
Jamani salam bandugu...

Ndugu zangu wakenya........ule ndo mji wenu wa pili kwa ukubwa? MOMBASA?

Nilifika na sikupenda kabisa nilichokutana nacho. Uchafu kila mahali.....barabara mbovu mishimo imejaa majitaka looh!
Kile kituo chenu cha mabasi ndo kiliniacha hoi.

BADILIKENI watu tulikuwa na hamu na shauku ya kuuzuru mji ila sawa nimekubali hasara.
Kenya ni Nairobi tu miji mingine yote hamna kitu.
 
Ungeoanisha na picha ingefana sana
 
Baada ya kutapika haya matapishi natumai umetosheka.
 
Hebu nikumbushe yenu ya pili ni gani tulinganishe [emoji849]
 
Hhhhh!!jamaa ametema povu km nn walai[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbna hivi mombasa inawasumbua akili jamani, eti jamaa kaja mombasa kaona eti ni hasara tupu...
 

Yamekufika na wewe, Mbwembwe za wakenya wa Jamii forum zilinisomba Nikajichanganya nikatembelea Mwezi wa Tano aisee nilikoma, tena usithubutu ujichanganye uende kwenye hiyo migahawa hapo mjini, Hao jamaa ni Wachafu, Nilijuta.
Mbaya zaidi nilikuwa na Mama Watoto. Na Mpango wetu ulikuwa tukae hapo siku tatu tupande SGR hadi Nairobi, Safari yetu iliishia hapo tukarudi, Japo tulifurahia Mombasa kuna Ubber, Vinginevyo hapo sio Salama kuanzia mazingira mpaka usafiri wa umma.
 
Kumbe uko na ile ile ndoto yako ya kufika mombasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]..usijali, itatimia tu...
Halafu mbna hkuwachukua watanzania wenzako pale coast bus wanavyohangaika kupiga debe...

Hukufanya fresh bana
 
Kumbe uko na ile ile ndoto yako ya kufika mombasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]..usijali, itatimia tu...
Halafu mbna hkuwachukua watanzania wenzako pale coast bus wanavyohangaika kupiga debe...

Hukufanya fresh bana

Wewe Bwege sio kila mtu humu ni Size yako, Mimi nimeshazurula sana Africa, Nimefika Asia na nimefika Europe.
 
Sema tu hukua na pesa ya kutosha ya kukupeleka Nairobi maana Nairobi sio ya kila mtu. Maisha ni ghali kwa nyie wenye pesa madafu.
 
Eti jamaa umefika asia europe halafu eti hata hela ya kukomboa hoteli km traveller imekushinda unaenda kula bondeni karibu na vibanda vya chania cool..

We mzee utakua bahili
Huyo amefika Asia kwenye ndoto yake. Usimsikilize huyo.
 
Sasa watuambie jiji Lao la Pili ni slum ipi???
 
Game over aliyasema humu Au ulienda kupima maneno yake?
Alafu tuletee picha za huo uchafu
 
Kila Mara Mimi huambia watu humu, usitembee bila pesa alafu ulaumu mji. Kama una pesa, utaishi kama Mfalme popote. Kama huna pesa, hata ukipelekwa New York utarudi humu ukilalamika eti hoteli zao mbovu.πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…