Mombasa County-Kuingia ni Arusi Kutoka ni Matanga

Mombasa County-Kuingia ni Arusi Kutoka ni Matanga

You Can Imagine how bad we used to be! That is why i love Kenya, we have worked hard to put ourselves on the map!

Ironically, despite the fears in the 1960s, it was the Kenyan Defense Forces that would go into Somalia decades later, in October 2011, to pursue al-Shabaab terrorists. The Kenyan forces are now part of the African Union Mission in Somalia that is trying to restore security in the country that has been grappling with civil war since the collapse of the Barre regime in 1991.
 
Patamu sana hapo Mambasani, yaani hizo picha jo...
Japo uwe makini akina Mwanaisha wasije wakakunogesha hadi ujisahau. Maana wale warembo wa Pwani wana jinsi wakikugusa unakua tayari kuuza shamba lako la muwa kule kijijini ili ukaserebuke nao.
nitakuja siku moja ila watoto wa tanga balaaa bro.. Mimi niliishiwa naulibya kurudi kwetu MARA... ikabidi nitumiwe na jamaa zangu
 
nitakuja siku moja ila watoto wa tanga balaaa bro.. Mimi niliishiwa naulibya kurudi kwetu MARA... ikabidi nitumiwe na jamaa zangu

Wote hao kimoja, yaani kuanzia Tanga hadi Mombasa....hehehe una bahati watu wa kwenu waliingilia kati maana ungeisahau Mara kwenye ramani.
 
Wote hao kimoja, yaani kuanzia Tanga hadi Mombasa....hehehe una bahati watu wa kwenu waliingilia kati maana ungeisahau Mara kwenye ramani.
siku nyngine nikaenda Mtwara achana na pwani bro... ila itabidi mabinti wa katikati ya Kenya wakajifunze mombasa
 
Watu balaa! hadi nimeona Amphibious Jeep kule Mombasa jana! Dah! Enyewe watu wameingiza mihela!!
 
Jamaa wametisha hao, bora ungeifungualia a full thread.
Waaaw! Mimi hata sikuwahi sikia Jeep kama hii! Lol! Nimeshangaa sana, ni kama nilivyokuwa nikidhani Tron bikes ni future concept, wapi!! Juzi ndio imenipita Thika road ikifanya not less than 220Km/H!!! Nimeshangaa kuona watu wanavitu hivi hapa Kenya tu
tronbike2.jpg
 
Hiyo kali... 220KM/h requires madness focus and attention.... otherwise a slight mistake will send you airborne, especially if you doing Thika road you will land into my roof.
 
Hiyo kali... 220KM/h requires madness focus and attention.... otherwise a slight mistake will send you airborne, especially if you doing Thika road you will land into my roof.
He was lucky a few days has gone with less traffic on Thika Road. I stay at clay works by the way!
 
Tatizo wale jamaa wengi mno!,wanaharibu jina na watu kama sisi wakristo safi tunaogopa kwenda huko dhambini...
(Mombasa=sodoma)
 
Back
Top Bottom