Edward Wanjala
JF-Expert Member
- Nov 3, 2016
- 8,122
- 6,429
nitakuja siku moja ila watoto wa tanga balaaa bro.. Mimi niliishiwa naulibya kurudi kwetu MARA... ikabidi nitumiwe na jamaa zanguPatamu sana hapo Mambasani, yaani hizo picha jo...
Japo uwe makini akina Mwanaisha wasije wakakunogesha hadi ujisahau. Maana wale warembo wa Pwani wana jinsi wakikugusa unakua tayari kuuza shamba lako la muwa kule kijijini ili ukaserebuke nao.
nitakuja siku moja ila watoto wa tanga balaaa bro.. Mimi niliishiwa naulibya kurudi kwetu MARA... ikabidi nitumiwe na jamaa zangu
siku nyngine nikaenda Mtwara achana na pwani bro... ila itabidi mabinti wa katikati ya Kenya wakajifunze mombasaWote hao kimoja, yaani kuanzia Tanga hadi Mombasa....hehehe una bahati watu wa kwenu waliingilia kati maana ungeisahau Mara kwenye ramani.
.. Na hiyo nayo ilikuwa vipi?Watu balaa! hadi nimeona Amphibious Jeep kule Mombasa jana! Dah! Enyewe watu wameingiza mihela!!
https://www.facebook.com/video.php?v=1796862303908202.. Na hiyo nayo ilikuwa vipi?
Waaaw! Mimi hata sikuwahi sikia Jeep kama hii! Lol! Nimeshangaa sana, ni kama nilivyokuwa nikidhani Tron bikes ni future concept, wapi!! Juzi ndio imenipita Thika road ikifanya not less than 220Km/H!!! Nimeshangaa kuona watu wanavitu hivi hapa Kenya tuJamaa wametisha hao, bora ungeifungualia a full thread.
Waaaw! Mimi hata sikuwahi sikia Jeep kama hii! Lol! Nimeshangaa sana, ni kama nilivyokuwa nikidhani Tron bikes ni future concept, wapi!! Juzi ndio imenipita Thika road ikifanya not less than 220Km/H!!! Nimeshangaa kuona watu wanavitu hivi hapa Kenya tu
He was lucky a few days has gone with less traffic on Thika Road. I stay at clay works by the way!Hiyo kali... 220KM/h requires madness focus and attention.... otherwise a slight mistake will send you airborne, especially if you doing Thika road you will land into my roof.
He was lucky a few days has gone with less traffic on Thika Road. I stay at clay works by the way!