Hata Diamond huwezi kuropoka pumba kama hii mbele ya Wizkid.Eti bigger and better than wizkid........ Hehehehe king hizi bange so za nchi hii..
Uyu jamaa nadhani bafo saba kujifunza kuwa msanii wa kimataifaTatzo jamaa uking unampumbazaaaa mi nlishngaa how come wizkid ali perform kwanza kumbe kiba alileta ubabe.... Phew
Diamond anajua thaman ya good relationship kweny business huyu king ni bange bange tuuuuHata Diamond huwezi kuropoka pumba kama hii mbele ya Wizkid.
Alikiba ni mtu wa majivuno anajona hakuna mtu mwingine zaidi yake, yeye ndo mkubwa yeye ndo mwanamiziki
Yaani anajiona mkubwa kuliko Wizkid na kilichompa kiburi kule Mombasa yule gavana ndo mshkaji wake kwaiyo na yeye anajiona Raisi wa Mombasa
Alafu ni tabia mbaya na ni unafiki kosa ufanye mwenyewe alafu umsingizie mtu mwingine ili watu wamuone mbaya wamchukie
Unaweka picha wakati mwenzio tayari kashafanya nae kazi bado kuitoa
Hofu za kijingaHawajui wanaijeria huyu jamaa....anadhani muziki ni figisufigisu namna hiyo?!wanaijeria wanaushirikiano balaa..atashangaa anakataliwa Collabo mpaka alie
Wizkid ndiye alikuwa manoftheshow
Wizkid yeye anajiita babanla ( maana yake baba lao)Kiba anadai ni mkubwa kuliko wiz kid [emoji1] [emoji1] labda kiumri