Mombasa Festival: Alikiba na Wizkid nusura watie doa show ya Chris Brown

Mombasa Festival: Alikiba na Wizkid nusura watie doa show ya Chris Brown

Kumbe ulitaka mwwnyewe kuimba mwisho na chriss alitaka kuwai ndege alitumia dk nane kuingiza milion 150 dar life hii
 
Tatzo jamaa uking unampumbazaaaa mi nlishngaa how come wizkid ali perform kwanza kumbe kiba alileta ubabe.... Phew
Uyu jamaa nadhani bafo saba kujifunza kuwa msanii wa kimataifa
 
Duh akya mungu hahahahaha eti king kibaka yuko juu zaidi ya wizkid mweee ila.huyu bushman anatia huruma hebu niulize kitu huyu jamaa wanasema anafanana na marehemu bushman wa the god must be crazy hivi enzi za uhai wake alikuwa hivihivi na yeye au mwenzetu kapitiliza
 
m ni mshabiki wa alikiba lkn jamaa ana kind ya uswahiliuswahili flani hv.........
 
Unatoa povu bila maji haha
Alikiba ni mtu wa majivuno anajona hakuna mtu mwingine zaidi yake, yeye ndo mkubwa yeye ndo mwanamiziki
Yaani anajiona mkubwa kuliko Wizkid na kilichompa kiburi kule Mombasa yule gavana ndo mshkaji wake kwaiyo na yeye anajiona Raisi wa Mombasa
Alafu ni tabia mbaya na ni unafiki kosa ufanye mwenyewe alafu umsingizie mtu mwingine ili watu wamuone mbaya wamchukie
IMG_20161010_113324.jpeg
 
anaymdanganya Ally Kiba kuwa ni mwanamuziki wa kukosesha usingizi watu hakiiii SHETANI ANAMUONA!
kwa muziki upi anaoimba,eti Iceman 3D ,au ni zile midundo na style za kucheza zisizobadilika kama tebo ya 9.
 
Hawajui wanaijeria huyu jamaa....anadhani muziki ni figisufigisu namna hiyo?!wanaijeria wanaushirikiano balaa..atashangaa anakataliwa Collabo mpaka alie

Wizkid ndiye alikuwa manoftheshow
Hofu za kijinga
 
Kiba anadai ni mkubwa kuliko wiz kid [emoji1] [emoji1] labda kiumri
 
Back
Top Bottom