Naxvegas254
JF-Expert Member
- Mar 29, 2019
- 542
- 316
Masa hapa Ni Dar vs Mombasa. Anzisha Moshi na Kisumu.
Kwahiyo kama MSA ina barabara kama hii ndo kwambaje yaan....Siko Dar itakuwa na barabara kama hii hapa unitag tafadhaliView attachment 1244528
Kubali yaishe[emoji23] Mombasa is ahead of Dar.Kwahiyo kama MSA ina barabara kama hii ndo kwambaje yaan....
Mnatumia nguvu kubwa sana Dar kuifananisha na MSA ila wapiii
Unapoteza energy buree....Kubali yaishe[emoji23] Mombasa is ahead of Dar.
Unapoteza energy buree....
Hili lipo wazi kama mchana mbona tutumie nguvu?.Mnatumia nguvu kubwa sana Dar kuifananisha na MSA ila wapiii
Si mmefungua nyuzi takribani 3 za battle kama hii, why haziendelei?
Ziendelezeni zile threads mseme MSA ni bora kuliko Dar... ngedelec!!!
Haziezi endelea kwa kuwa mtasusia Uzi kisa Dar imechapwa na kudhalilishwa 😂😂😂😂Mnatumia nguvu kubwa sana Dar kuifananisha na MSA ila wapiii
Si mmefungua nyuzi takribani 3 za battle kama hii, why haziendelei?
Ziendelezeni zile threads mseme MSA ni bora kuliko Dar... ngedelec!!!
Ukizungumzia Cairo n Jozi Nairobi unaitaja ina nn apo?jifunze kua na adabu kidogo...bro, kidogo tu nikurekebishe,,, usiwahi na narudia tena UsiwAhi weka Jiji la Nairobi na kijiji cha wavuvi 'darisalama' kwenye sentensi moja maanake itakua umeikosea heshima Jiji la Nairobi.
Nairobi size yake ni Jo'Burg na Cairo.
heshima ni muhimu bro!!!
NBO, Dar, Adis,Kampala ,Mombasa is nowhere in this region,Mnaitambua uko kwenu tu!Huu uzi huu hadi raha...ni povu zitamwagika, tena tusikubali uzikwe, timu Mambasa mpost kila siku kukumbushia...hehehe
Halafu niwakumbushie wale wanaikosea Nairobi heshima kwa kuitaja humu, wafahamu uchumi wa Nairobi pekee unatoshana na wa Tanzania yote, muungano wa mataifa hayo mawili yaani Danganyika na Zanzibar zote ukiunganisha ndio zinatoshana na uchumi wa Nairobi.
Dar ilikua inajitutumua kupumulia makalio ya Nairobi, ila sasa imepitwa na Mambasani, na wakicheza wafahamu Kisumu, Eldoret, Nakuru zipo njiani zinakuja.
NBO, Dar, Adis,Kampala ,Mombasa is nowhere in this region,Mnaitambua uko kwenu tu!
Ukizungumzia Cairo n Jozi Nairobi unaitaja ina nn apo?jifunze kua na adabu kidogo...
Nairobi Ni jiji la kishamba sana slum hub bora hata Dar es salaam mara mia
Wewe unajua unachosema kweli?Bypass mbona Kampala zipo nyingi? Mombasa ndo wanataka kujenga!!!
Nairobi Ni tundu la chooJust like Dar is a slum ni choo.