Mombasa is now 2nd most developed EAC city after Nairobi

Mombasa is now 2nd most developed EAC city after Nairobi

Mnatumia nguvu kubwa sana Dar kuifananisha na MSA ila wapiii

Si mmefungua nyuzi takribani 3 za battle kama hii, why haziendelei?

Ziendelezeni zile threads mseme MSA ni bora kuliko Dar... ngedelec!!!
Haziezi endelea kwa kuwa mtasusia Uzi kisa Dar imechapwa na kudhalilishwa 😂😂😂😂
 
Mombasa is getting add-ons that in no time will leave Dar es Salaam way back.
Such small add-ons makes the difference.
IMG_20191028_143102.jpg
 
bro, kidogo tu nikurekebishe,,, usiwahi na narudia tena UsiwAhi weka Jiji la Nairobi na kijiji cha wavuvi 'darisalama' kwenye sentensi moja maanake itakua umeikosea heshima Jiji la Nairobi.
Nairobi size yake ni Jo'Burg na Cairo.
heshima ni muhimu bro!!!
Ukizungumzia Cairo n Jozi Nairobi unaitaja ina nn apo?jifunze kua na adabu kidogo...
Nairobi Ni jiji la kishamba sana slum hub bora hata Dar es salaam mara mia
 
Huu uzi huu hadi raha...ni povu zitamwagika, tena tusikubali uzikwe, timu Mambasa mpost kila siku kukumbushia...hehehe
Halafu niwakumbushie wale wanaikosea Nairobi heshima kwa kuitaja humu, wafahamu uchumi wa Nairobi pekee unatoshana na wa Tanzania yote, muungano wa mataifa hayo mawili yaani Danganyika na Zanzibar zote ukiunganisha ndio zinatoshana na uchumi wa Nairobi.
Dar ilikua inajitutumua kupumulia makalio ya Nairobi, ila sasa imepitwa na Mambasani, na wakicheza wafahamu Kisumu, Eldoret, Nakuru zipo njiani zinakuja.
NBO, Dar, Adis,Kampala ,Mombasa is nowhere in this region,Mnaitambua uko kwenu tu!
 
Ukizungumzia Cairo n Jozi Nairobi unaitaja ina nn apo?jifunze kua na adabu kidogo...
Nairobi Ni jiji la kishamba sana slum hub bora hata Dar es salaam mara mia

Just like Dar is a slum ni choo.
 
Back
Top Bottom