Mombasa is now 2nd most developed EAC city after Nairobi

Vitu gani unavyonitajia, nakuambia uchumi wa Tanzania yote kuanzia visiwani hadi mikoani unatoshana na GDP ya Nairobi pekee, jua kwmba kwa sasa Kenya inakaribia kuwa mara mbili ya Tanzania kiuchumi.
GDP ya Nairobi ni kiasi gani? Hebu twende kwa data. Na unitajie GDP ya Kenya na Tanzania kwa pamoja tuthibitishe madai yako
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] isorait kaka[emoji23]
Uvivu Ni Tabia za watu wa Pwani ya Africa mashariki...Mimi nimekulia Klm kule uzembe hauna nafasi kabisa, Kama ni Shule utaenda na kazi utafanya, Pwani wamerelax wali nazi utakua unalegeza misuli[emoji3][emoji3][emoji3](I'm joking)
 
Vitu gani unavyonitajia, nakuambia uchumi wa Tanzania yote kuanzia visiwani hadi mikoani unatoshana na GDP ya Nairobi pekee, jua kwmba kwa sasa Kenya inakaribia kuwa mara mbili ya Tanzania kiuchumi.
hivi unajua madhara ya kukuacha na ujinga unaoufanya kwa makusudi ni kuwa mpumbavu??

nairobi GDP ni kubwa kuliko ya tz[emoji16][emoji16][emoji16].umefurahi sasa eh.

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
 
Jengo refu kuliko yote ea ni tpa pale dar, 3level fly over ipo dar pale ubungo, bado mabasi ya mwendo kasi only in dar..tell us wich thing is special found in nairobery?
 
Jengo refu kuliko yote ea ni tpa pale dar, 3level fly over ipo dar pale ubungo, bado mabasi ya mwendo kasi only in dar..tell us wich thing is special found in nairobery?
Wewe mtu wa Tandahimba unafaidika vipi na uwepo wa ghorofa refu pale Dsm ?
 
Wewe mtu wa Tandahimba unafaidika vipi na uwepo wa ghorofa refu pale Dsm ?
kwani tuna compare vp ubora wa mji bila kutaja miuondo mbinu ya majengo ,barabara, na madaraja? Au ulitaka nitaje minazi?
 
Kwa maana ya miundombinunya barabara,utalii,ukubwa wa bandari na mipango miji Mombasa inaizidi Dar mbali sana lakini in terms of GDP na majengo marefu bado saana ila kongole kwa Mombasa maana ni kati ya majiji makubwa EAC,
 
Korosho zake zinapotaka kusafirishwa nje ya nje mhusika ndani ya jengo lile hu-process documents za usafirishaji wake!
 
Outside Dar kuna city level ya Mombasa in Tz?., kiukweli?
Ni kweli outside dar hakuna mji Tz ulioizidi Mombasa. Ila pia hata uchumi wa Mombasa sio mkubwa kivile. Sababu GDP ya Mombasa ni $8 Billions..Sisi ya mji wetu wa pili Mwanza ni $4 Billions.. Hivyo msiuoverrate kihivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…