Mzee Wa Republican
JF-Expert Member
- Jul 20, 2013
- 1,666
- 847
GDP ya Nairobi ni kiasi gani? Hebu twende kwa data. Na unitajie GDP ya Kenya na Tanzania kwa pamoja tuthibitishe madai yakoVitu gani unavyonitajia, nakuambia uchumi wa Tanzania yote kuanzia visiwani hadi mikoani unatoshana na GDP ya Nairobi pekee, jua kwmba kwa sasa Kenya inakaribia kuwa mara mbili ya Tanzania kiuchumi.