Mombasa Kenya; Ndoa za usiku zapigwa marufuku.

Synod

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2016
Posts
4,143
Reaction score
4,180
Hii ni kutokana na kushamiri kwa matukio ya ukwapuaji hasa kwa watu wanaotoka kwenye sherehe majira ya usiku.

Polisi wanasema mwisho wa sherehe itakuwa saa 4:00 Usiku na atakayezidisha mda huo lazima aombe kibali maalumu na kulipia gharama za askari watakaotoa ulinzi baada ya muda huo.

Night weddings banned in Mombasa
 
Ndoa usiku wa manane hapo wataolewa wengi.
 
Bila shaka hamna uhusiano na shughuli aliyofanya Kiba
 
Saa 4 usiku bado ni usiku. Wangesema sherehe ziishie saa 12 jioni!
 
Wakenya mmezidi ukora, yaani pale Nairobi hata simu inafaa uichunge kweli kweli,
Hapa dar kuna Vibaka lakini Kenya mmefunika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…