figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
[emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]aah inategemea na mzigo ni wa nani.............
Hapa umenena vema.aah inategemea na mzigo ni wa nani.............
Hao watapata dhamana bila usumbufu wowote,baadaye jamhuri itaamua kutoendelea na kesi!Hawatofanywa chochote. Nina uhakika.
Natamani maraika ashuke na kuzima JF.
Watuhumiwa waliweka shehena hiyo chini ya mzigo wa Mbao.
Walifanikiwa kupita katika vizuizi kadhaa lakini mwishowe walikamatwa.
Sipati picha nini kitawakuta chini ya utawala huu wa hapa kazi tu.
Chanzo : Ni mimi mwenyewe kwa sababu nipo bandarini.
Kwani chini ya utawala huu hao ndo wa kwanza kukamatwa na shehena ya pembe za ndovu?