figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Shehena ya pembe za ndovu iliyokamatwa bandarini leo . Watuhumiwa walipakia shehena hii chini ya mzigo wa mbao na kufanikiwa kupita vizuizi vingi ila mwisho ilikuwa leo hapo bandarini.
Shehena hiyo imekamatwa katika bandari ya Mombasa.
Shehena hiyo imekamatwa katika bandari ya Mombasa.