East African Boy
Member
- Nov 15, 2018
- 21
- 21
As we end the year lets see how these two cities have developed in all major aspects.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mombasa has over 3million people kakanguni uchizi kulinganisha dar yenye wakazi zaid ml.5 na mombasa yenye wakazi zaid ya ml.1.
Kwa hivyo nitakuwa sawa kusema mji wa Onitsha in Nigeria ni mkubwa kuliko Dar es salaam nikitumie vigezo vyako? Population yake ni 7 million.ni uchizi kulinganisha dar yenye wakazi zaid ml.5 na mombasa yenye wakazi zaid ya ml.1.
Kweli mkuuni uchizi kulinganisha dar yenye wakazi zaid ml.5 na mombasa yenye wakazi zaid ya ml.1.
huwezi kusema population ndio kigezo cha maendeleo, dar watu wanafyatua tu na kuzaliana kama panya huku wakaazi wakiishi maisha duni ya uchochole na ukosefu wa miundo mbinu. Mombasa kuna surbabs/ estates za kutosha pamoja na miundo mbinu. in short watu wa darislum hawajielewi, yaani wapo wapo tu bora liende
So Mombasa is coming to dar? 😂😂😂😂or what do you mean?[emoji13][emoji13][emoji13]nyie watu mlitoroka zoo hapo nairobi.
Basi tufanye sisi tumekubali mombasa is ahead to dar.
"Ahead to Dar" ndo nini?[emoji13][emoji13][emoji13]nyie watu mlitoroka zoo hapo nairobi.
Basi tufanye sisi tumekubali mombasa is ahead to dar.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Janerose acha kuaibisha boychild.So Mombasa is coming to dar? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]or what do you mean?
Alafu Kisii tutalinganisha na gani ?[emoji848][emoji848]Acheni ufala mombasa linganisheni na Mwanza
Outside the three blue towers Dar is just like Kampala.Mombasa na Dar au Mombasa na Cape Town??
Teh teh teh tihiii
you must be serious.
Mombasa is at another level.
Outside the three blue towers Dar is just like Kampala.