Mombasa vs Dar Es Salaam in 2018

Very soon Mombasa will be bigger than Dar, watch this
 
Mwengine alipagawa hadi akaita mmwambao oman....yani nilicheka sana
 
ni uchizi kulinganisha dar yenye wakazi zaid ml.5 na mombasa yenye wakazi zaid ya ml.1.
 
ni uchizi kulinganisha dar yenye wakazi zaid ml.5 na mombasa yenye wakazi zaid ya ml.1.
Kwa hivyo nitakuwa sawa kusema mji wa Onitsha in Nigeria ni mkubwa kuliko Dar es salaam nikitumie vigezo vyako? Population yake ni 7 million.
Onitsha

 

Attachments

  • 1542726277222.png
    198.7 KB · Views: 58
  • 1542726371297.png
    181.2 KB · Views: 52
huwezi kusema population ndio kigezo cha maendeleo, dar watu wanafyatua tu na kuzaliana kama panya huku wakaazi wakiishi maisha duni ya uchochole na ukosefu wa miundo mbinu. Mombasa kuna surbabs/ estates za kutosha pamoja na miundo mbinu. in short watu wa darislum hawajielewi, yaani wapo wapo tu bora liende
 

[emoji13][emoji13][emoji13]nyie watu mlitoroka zoo hapo nairobi.

Basi tufanye sisi tumekubali mombasa is ahead to dar.
 
Mombasa na Dar au Mombasa na Cape Town??
Teh teh teh tihiii
you must be serious.
Mombasa is at another level.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…