Mombasa: Walipia pesa kuangalia vijana wadogo wakifanya ngono na wanyama

Mombasa: Walipia pesa kuangalia vijana wadogo wakifanya ngono na wanyama

Mnaoagiza picha, ipi tofauti yenu na hao wanaolipia kutazama, hivyo uletewe pich ya mtoto akifanya ngono na umbwa ili iweje.

Anyway ni aibu kubwa, binadamu amefikia pabaya bora dunia ilipuke tu.
Wakati mwengine huwa naona bora zombi fulani lifikie maeneo yaliko mabomu yote ya nyuklia na lianze kubonyeza bonyeza yakielekea maeneo yote duniani, maana nimekata tamaa na hii dunia.
Duna ikilipuka utakuwa side ipi kuume kwa baba yangu au devil kingdom
 
Bila kuwa wakweli, kuna mengi yatatokea mpaka wote tutaogopana, kama ndani ya familia. Baba anamuogopa mtoto na mtoto ana muogopa baba. Na hapa ni Mwanzo tuu.

Nawasilisha.
 
Tatizo ni kuwa wanajua huku sheria inanunuliwa.

Lakini hao hao ambao sheria hazinunuliwi kwao ndio wanaongoza kwa haya mambo kwenye hizo nchi zao. Marekani na Uingereza ni mojawapo wa nchi zinazoongoza kwa ngono na watoto wadogo.

Child Sexual Abuse: Top 5 Countries With the Highest Rates
Basing its research on official statistics and reports, IBTimes UK looks into some of the countries with the highest rate of Child Sexual Abuse (CSA).

South Africa

One child is raped in South Africa every three minutes, according to a 2009 report by trade union Solidarity Helping Hand.

A 2009 survey by the country's Medical Research Council found that one in four men admits to raping someone, 62% of boys over 11 believe forcing someone to have sex is not an act of violence and a third believe girls enjoy rape, the Independent reported.

South African Cardinal Says Child Sex Abuse is a Sickness, Not a Crime
More than 67,000 cases of rape and sexual assaults against children were reported in 2000, according to the Telegraph.

Some of the victims were as young as six-months-old, a number of whom died from their injuries, while others contracted HIV.

Many people in South Africa believe that sex with a virgin can heal someone from HIV/AIDS.

"The idea that having sex with a virgin cleanses you of AIDS does exist and there have been reported cases of this as a motivating factor for child rape. But evidence suggests that this is infrequently the case," Dr Rachel Jewkes, director of the MRC's Gender and Health Research Group told humanitarian news and analysis service IRIN in 2002.

India

In its 2013 report India's Hell Holes: Child Sexual Assault in Juvenile Justice Homes, the Asian Centre for Human Rights said that sexual offences against children in India have reached epidemic proportion.

The report stated that more than 48,000 child rape cases were recorded from 2001 to 2011 and that India saw an increase of 336% of child rape cases from 2001 (2,113 cases) to 2011 (7,112 cases).

"Imagine 48,838 children raped in just 10 years and you have a small measure of how deep the inhuman phenomenon of child rapes runs in India," correspondents Nishita Jha and Revati Laul wrote last year on a Tehelka blog.
"Child sexual abuse is rampant, indiscriminate and cuts across class, geography, culture and religion. It happens in cities and villages, by fathers, brothers, relatives, neighbours, teachers and strangers," Jha and Laul continued.

In 2012, the Indian Parliament passed the Protection of Children from Sexual Offences Act, which incorporates child friendly procedures for reporting, recording of evidence, investigation and trial of offences.

According to a 2007 study by the Indian Government of nearly 12,500 children from across India, 53% of children - boys and girls equally - were victims of sexual abuse.

Zimbabwe

Police spokesperson Assistant Commissioner Charity Charamba said in 2012 that rape cases against children continued to increase countrywide, according to NewsdeZimbabwe.

"The (rape) cases are on the increase and during the week ending 25 September 2012, the cases rose to 81 from 65 the previous week. Evident from our investigations is the fact that relatives commit most juvenile rape cases," said Charamba.
In 2011, there were 3,172 rape cases of juveniles recorded countrywide, an increase from 2010, when 2,883 were reported.

A clinic in Harare, capital of Zimbawe, said it had treated nearly 30,000 girls and boys who'd been abused in the previous four years, the Guardian reported in 2009.

Betty Makoni, founder of the Girl Child Network (GCN), said the real number of victims was likely to be double that recorded by the Family Support Trust Clinic.

United Kingdom

A quarter of a million Britons - more than one in every 200 adults - are paedophiles, according to figures released by Scotland Yard, the Telegraph reported in 2000.

In 2012/13, there were 18,915 sexual crimes against children under 16 recorded in England and Wales, according to the National Society for Prevention of Cruelty to Children (NSPCC). Included in that figure were 4,171 offences of sexual assault on a female child under 13 and 1,267 offences of sexual assault on under-13 male children.
In the UK, one in 20 children (4.8%) have experienced contact sexual abuse and over 90% of children who experienced sexual abuse, were abused by someone they know, NSPCC said.

A paedophile ring linked to Britain's worst abuser Robert Smith, arrested in 2005, is 'still at large', the Herald reported in 2013.

United States

"Even if the true prevalence of child sexual abuse is not known, most will agree that there will be 500,000 babies born in the US this year that will be sexually abused before they turn 18 if we do not prevent it," according to the Children Assessment Centre (CAC).
The US Department of Health and Human Services' Children's Bureau report Child Maltreatment 2010found that 16% of young people aged 14 to 17 had been sexually victimized in that year, and over the course of their lifetime, 28% of young people in the US, aged 14 to 17, had been sexually victimized.

"Adult retrospective studies show that 1 in 4 women and 1 in 6 men were sexually abused before the age of 18. This means there are more than 42 million adult survivors of child sexual abuse in the US," said the CAC.

Child Sexual Abuse: Top 5 Countries With the Highest Rates
 
Wazungu wamepinda wanakwambia Bangkok ni Disneyland ya wakubwa. Afadhali basi wawafanyie hao waliokubali kubadili jinsia kuliko kuharibu malaika wasio na hatia. MK254
 
Duna ikilipuka utakuwa side ipi kuume kwa baba yangu au devil kingdom

Hayo tutajua wakati tukifa wote, lakini kwa sasa hii dunia haifai kabisa. Yaani inatamausha kweli, ukiwaza kwamba leo hii, tena mida hii kuna mtoto sehemu anafanyiwa hayo mambo, na kwamba sina uwezo wa kulizuia hilo, hata ukiwa sebuleni huwezi pata raha ukila chakula na wanao wakati unawaza kuhusu hivyo vituko vinavyoendelea kwenye hii dunia.
 
Rotherham child abuse trial: four men and two women found guilty
Gang including three brothers, led by Arshid Hussain, targeted 15 girls, one as young as 11 MK254

Hii crime iliendelea kwa muda mrefu sana Uingereza, pamoja na mafanikio yao ya kuelimisha watu dhidi ya child abuse lakini hili walishindwa kulitambua. Sexual abuse is a hiden crime, that makes it even harder to catch the offender.
 
Kipindi fulani nimekwenda hafla pale Malindi, halafu jioni nikaenda klabu kunywa bia kadhaa, ghafla akaingia mzungu huku na watoto wawili wasichana na kukaa nao sehemu pembeni. Yaani niliendelea kupandisha mori kila nilivyolewa, ilinilazimu nitoke maana ningefanya mabaya humo ambayo yangenitia kwenye matatizo makubwa maana hao jamaa wanafanya yote hayo kwa ushirikiano na wana usalama.
Pwani ya Kenya kuna baadhi ya wazungu amabo wameishi miaka na miaka nchini, wanaongea kiswahili safi kabisa utadhani mzawa. Wanaitwa "wazungu kimbo". Hawa wazungu kimbo ndo balaa yenyewe, wanaongoza kwenye hizi visa na sana sana utapata 90‰ ni waitaliano na wajerumani. Hao pia ndo ma ring leader wa vikundi haramu ya umalaya wa aina zote, hadi wamewaweka maafisa na wanasiasa wengi mfukoni. Hela wanzao lakini zaidi ni ushawishi mkubwa. Ikiibuka kelele anaenda kwao miezi 2-3 ,kisha anarudi kuendeleza zake, huku kila kitu anafanya na remote control. Washenzi.
 
Mkuu hawa watu wakiwa exposed itawamaliza nguvu. Kwa haya machache tu uliyotueleza kama wanasoma ni tishio.
 
Mkuu hawa watu wakiwa exposed itawamaliza nguvu. Kwa haya machache tu uliyotueleza kama wanasoma ni tishio.
Kwao hawawezi thubutu kufanya ujinga huu. Majina yao, hadi na anwani zao zinachapishwa gazetini kwa mujibu wa sheria zao. Akihama mtaa mwingine, majirani wanaarifiwa flani na flani ni mbakaji/anadhulumu watoto etc kuendana na kosa lake. Wanachoshwa na hiyo maisha ndiposa unawapata Thailand ama kwetu pasipo na sheria thabiti za kuwakabili.
 
Pwani ya Kenya kuna baadhi ya wazungu amabo wameishi miaka na miaka nchini, wanaongea kiswahili safi kabisa utadhani mzawa. Wanaitwa "wazungu kimbo". Hawa wazungu kimbo ndo balaa yenyewe, wanaongoza kwenye hizi visa na sana sana utapata 90‰ ni waitaliano na wajerumani. Hao pia ndo ma ring leader wa vikundi haramu ya umalaya wa aina zote, hadi wamewaweka maafisa na wanasiasa wengi mfukoni. Hela wanzao lakini zaidi ni ushawishi mkubwa. Ikiibuka kelele anaenda kwao miezi 2-3 ,kisha anarudi kuendeleza zake, huku kila kitu anafanya na remote control. Washenzi.

Lakini pia wazazi wa hawa watoto huchangia, niliskia kwamba mama zao huwalazimisha, eti mama anafoka "mwanagu toka ukazilete dollar kama wenzio". Mtoto anaachishwa shule na mzazi wake ili akahisike kwenye ukahaba na wazungu. Viongozi wa mitaa pia wananufaika pakubwa.

Tatizo hata viongozi wa maeneo bunge na kaunti huwa hawaonyeshi juhudi zozote katika kulipiga vita hili janga. Hususan huwa linatokana pia na ulevi wa madawa na umaskini. Umaskini na ukosefu wa elimu ni mtaji wa kila kiongozi.
 
Kuna baadhi ya wabunge ambao wanajaribu kuangazia hili janga, lakini wanakumbwa na ma mafia wa industry ya utalii ambao wanaona heri vitu(yaani kushtumu hizi tabia)vifanyike chini chini ili hoteli na vilabu zao viendelee kuajiri wakazi.Ukiwajaribu, hutoona ndani ya Bunge ama county assembly uchaguzi ujao. Pia kuliangamiza ngumu sababu ya unga na ma mafia wake ambao ni wale wale tu wa umalaya. Tabu tupu aisei
 
Suluhu ni kulipiga vita hata kama itasababisha kupoteza ubunge. Ni kama jinsi ilivyo mkoa wa kati Kenya, vijana waliishia kwenye ulevi, wakatelekeza majukumu yao hadi pale rais akaamua kuhusika binafsi, japo kwa ushirikiano na viongozi wa maeneo ya huo mkoa, walifaulu pakubwa kupunguza.

Tatizo Pwani unakuta hata viongozi wa pale wanahusika kwenye haya mambo, haswa lile la madawa na mateja. Kiasi kwamba rasi akitia mguu pale ataambulia tu, hata hivyo hilo lisiwe sababu, bora angeamua kulikomesha hata kama itabidi atumie jeshi kama walivyofanya kule Mexico.
 
Kuiamini hii mpaka nipate habari kutoka credible source, maana huyu alivyoandika tu anaonekana ni amateur!
 
Kuiamini hii mpaka nipate habari kutoka credible source, maana huyu alivyoandika tu anaonekana ni amateur!

Nini kisichoeleweka?

Haya mambo yanafanyika

Umaskini + madawa ya kulevya = wehu/kichaaa

Na kichaaa chochote kwake chawezekan
 
How comes this story never made it to the main stream media??...i highly doupt the source of this news
 
Back
Top Bottom