britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Waambie ukweli Hawa machawa hawaelewi kitu chochote kabisa!Wampe hata Antipas Tundu,
Duh....!, mbona sasa ndio umemharibia?. Hata kama ilikuwa iwe hivyo kiukweli, sasa umeisha mharibia!, all and all, japo ile ya Katto ni kweli, huu ni uongo na uzushi tuu!Mombo Seleman aliyekuwa kwenye nafasi ya ubalozi ukanda wa Amerika kusini wakati wa Nchimbi atachukua nafasi ya mkurugenzi wa usalama wa Taifa aliyepo sasa!
Kwa nini umenitag mimi tuu?!, kama uongo huu ungekuwa kweli, na ingekuwa na mimi ni mtu wa kule, si ungeniponza bure kuonekana kama ni mimi ndie navujisha?!.
Ataondokaje kilazima mkuu?Yote mavi ukifika muda next year huyo bibi yenu ataondoka tena kwa lazima aendelee kujiandaa kucheza kiduku tutaonana muda ukifika
Huyo hafai, ana hasira na si mficha maovu, atamkata mtu mateke on the spot.Wampe hata Antipas Tundu,
Mkuu una uhakika unawashwa mguu kweli mbona unajikuna sipo??Jiwe aliishi maisha ya kudhania kuwa cdm ndiye adui namba Moja,kumbe chawa wa kummaliza wapo kwenye koti lake alilolivaa
Matokeo yake wakamlipua
Kipivi mkuuMkuu una uhakika unawashwa mguu kweli mbona unajikuna sipo??
🤣🤣🤣ingekuwa na mimi ni mtu wa kule, si ungeniponza bure kuonekana kama ni mimi ndie navujisha?!.