Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 4,107
- 9,671
Samia anacheza na moto kumbuka yule naibu wa TISS kapewa ubalozi ni dalili mbaya maana nae Mkurugenzi anamtoa kuna anguko lake kubwa linakuja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli wewe ni bush.usinipangie Cha kuandika.nchi yangu inatambua uhuru wa kujieleza.Toa ujinga wako. Shika adabu yako.
Wewe umekwishatoa Ujinga wako na kuishika iliyo adabu yako??Kwani kuwa kiongozi wa Kata ni dhambi?unakazwa nini Acha kutisha madogo,, Dogo Jinga weweToa ujinga wako. Shika adabu yako.
Hahahah nimeikubali hii mabeyo kama wasukuma wengine tuu alizinguaKwa mienendo ya huyu bibi ni ngumu kujua yupi tatizo,idara ama yeye.
All in all mabeyo kama wasukuma wengine alizingua sana.
Sasa sisi wasukuma tumeingiaje hapaKwa mienendo ya huyu bibi ni ngumu kujua yupi tatizo,idara ama yeye.
All in all mabeyo kama wasukuma wengine alizingua sana.
Andrew Nyerere katika ubora wako🤣Unasema Mombo Selemani kama vile wote tunamjua.
🤣🤣🤣Duh....!, mbona sasa ndio umemharibia?. Hata kama ilikuwa iwe hivyo kiukweli, sasa umeisha mharibia!, all and all, japo ile ya Katto ni kweli, huu ni uongo na uzushi tuu!
Kwa nini umenitag mimi tuu?!, kama uongo huu ungekuwa kweli, na ingekuwa na mimi ni mtu wa kule, si ungeniponza bure kuonekana kama ni mimi ndie navujisha?!.
P
Labda ndilo lengo lake....!Duh....!, mbona sasa ndio umemharibia?.
Duh!Wampe hata Antipas Tindu,
jiheshimuToa ujinga wako. Shika adabu yako.