stormryder
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 3,776
- 5,786
How did you know mbona hii ni kama pre-emptive strike
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa tume ipi hiyo ya kumuondoa?Yote mavi ukifika muda next year huyo bibi yenu ataondoka tena kwa lazima aendelee kujiandaa kucheza kiduku tutaonana muda ukifika
Mbona hata Dr Magu alifanya hivyo. Mambo mengine ni ya kawaida tu.Chini ya miaka mitano ameshateuwa wakurugenzi kwenye hiyo nafasi zaidi ya watatu.
Nampa pole sana hajui anapambana na nani.
kwahiyo kwa vile Magu alifanya hivyo na huyu anatakiwa afanye hivyo.Mbona hata Dr Magu alifanya hivyo. Mambo mengine ni ya kawaida tu.
HahahahahaaaSi wawape tu DP World waongoze
Ngazi zitaachiwa tuu Ondoa Shaka,,lakini ngoja tufike Kwanza kibarazani au tukumbatie nguzo tuandae mazingira ya kujipumzisha vyema na pa kujishikiza kwanzaachia ngazi 2025 bob kawe hata balozi wa nyumba 10.
Wasukuma mnaweka uaminifu hata sehemu isikohitajika.Sasa sisi wasukuma tumeingiaje hapa
Wengine hufikiria usalama ni kukaa kwenye kahawa na kusikiliza watu
Uchumi wa nchi unategemewa na Usalama wa Taifa "Nukta
Upo sahihiSiyo kwamba 'Usalama wa Taifa unategemewa na Uchumi wa Nchi' ?
-Kaveli-
Niltaka kumwaga data ili kupingana na Hoja za mleta mada, lakini nimeona isiwe tabu na nikaacha kufanya hivyo.Mkurugenzi Usalama anaenda kuondolewa kwa kushindwa kuzuia ufisadi ?
Hujui chochote.
Toka uhuru, na zaidi kuanzia Mwinyi administration, Usalama wa Taifa unaongoza nchi hii kwa ubadhilifu, ujambazi wa mali ya umma, ule LU.