Faida zake kwanza ni imeniongezea confidence sana,huwa najiambia kama niliweza Kupiga push up kwenye mchanga,kubeba dunia nk,sitoshindwa kukabiliana na hili pia.
2)pia ni uvumilivu na kucontrol hasira,naweza ishi maisha yoyote sehemu yoyote iwe msoto ama raha,kuchukulia poa mtu anapokuudhi.
3)nimepanua wigo wa marafiki na kwa mara ya kwanza kuwa na interaction na jinsia tofauti ilikua jeshini (nimesoma na girls tupu vidato vyote ) sikuwahi kuamini kama wakaka na wadada msio ndugu mnaweza kujichanganya pamoja bila lolote kutokea,kumbe inawezekana bana tena vizuri tuu[emoji3][emoji3]
Afu wadogo zangu wakinizingua tu ni wanachumpa(kichura),push ups kidogo naeenjoy[emoji3]
Bad thing ni kwamba nilipata kuwa na lugha mbaya aisee,yaani kutaja taja hivi viungo vya kike,kiume live ilikua kawaida sana,na sitosahau nilivokosea sms niliyokua namtumia Kuruta yenye maneno maneno, ikaenda kwa mshua yaani nomaa.
Sent using
Jamii Forums mobile app